KAUDO
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 138
- 67
pambano linaongozwa na kituo cha Redio ya Kasibante inayomilikiwa na Kagasheki ambayo imeanzisha vipindi vya kuimba uzuri wa Kagasheki na kueleza upuuzi wa Dk Amani.
Tayari kundi la madiwani tisa wanaompinga Meya wamealikwa na Kagasheki kwenda Dodoma(wameishafika) kumshitaki Meya kwa Waziri Mkuu Pinda,kwa ubabe wake.
Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Pinda(Iliongozwa na Abbas Kandoro) mpaka leo haijatoa majibu ya uchunguzi wake.Endelea kusubiri hadi mwisho wa pambano