Huyu sidhani kama atarudi bungeni 2015....
Huyu jamaa sikutarajia kabisa awe hivi! Maskini jumaaa!!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Huyu sidhani kama atarudi bungeni 2015....
Hilo ndo tatizo la viongozi wetu kujadili mambo yenye maslahi kwa Taifa kwa kutumia ushabiki na kuweka weledi pembeni,
juma nkamia ni janga la karne! Hao waliochagua kwa kura imekula kwao