Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MBUNGE wa Mwibara, KangiLugola (CCM) amefichua siri ya sababu ya Kamati ya Wabunge wa Chama ChaMapinduzi (CCM) kuwaweka kitimoto yeye na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe. Akizungumza katika...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
MBUNGE wa Liwale, FaithMitambo (CCM), amekishutumu Chama Cha Wananchi (CUF) kwamba ndicho kilichoasisivurugu zilizotokea jimboni kwake. Mbunge huyo pia alilaumu Jeshi la Polisi kwakushindwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. SYLVESTER MHOJA KASULUMBAYI (MB) KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2012/13 NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA WIZARA YA...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mabadiliko katika ukurasa wa 8 aya ya pili inayoanza na maneno ‘Mheshimiwa Spika, Kwa upande wa chama cha CUF....na kuishia na maneno…Israel Liberal ' sasa isomeke: "Mheshimiwa...
3 Reactions
131 Replies
11K Views
Ofisi ya wilaya ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema inawataka wote wenye nia na wadau wenye mapenzi mema na chama wasaidie kujenga chama. Hii inatokana na programu mpya ya chama inayo...
2 Reactions
3 Replies
989 Views
SUNDAY, APRIL 28, 2013 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Mhe Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili leo jioni kuhudhuria...
1 Reactions
72 Replies
9K Views
Mambo poa... Hivyo ndivyo wanavyoonekana kusema vijana machachari katika siasa. Vijana hawa walikuwa Mbulu katika harakati za kujenga nchi. Tanzania ina kila sababu ya kujivunia vijana...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Ina maana hakuna watanzania wenye sifa stahiki au ni kwamba uraia wao unafahamika, mtu anakwambia kabisa kwao ni kigali halafu bado yupo serikalini, inakuaje??
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo hii CHADEMA na CUF wametakiwa kuombana radhi wao kwa wao na pia kumuomba radhi naibu spika kutokana na fujo za jana. Uamuzi huo ni hatua nzuri na ni uamuzi unaostahili pongezi. Hata hivyo...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
MKURUGENZI wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa nchini Dakta Hosea analalamikiwa vikali ofisini kwake kwa kitendo cha hivi majuzi kuchukua takriban milioni 48 za ofisi kwa ajili ya safari yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
[COLOR="#0000ff"]Ndugu wana jf ''VIJANA WASOMI MPOOO,EPUKA KUJENGA NYUMBA YA MAFISADI'' Ulimbukeni umeligawa Taifa,umetufikisha hapa tulipo na unatutumbukiza kwenye shimo refu [Umaskini wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KAMA Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere angalikuwa yungali hai katika Tanzania hii ya leo, basi hakuna ubishi kwamba engaliitwa ‘mchochezi'! Ndio, hakuna namna ambavyo asingeitwa hivyo...
1 Reactions
1 Replies
936 Views
Hatimae kamati imeweza kupata usuluhisho kwa pande zote mbili kuomba radhi kwa bunge, kiti cha spika na kuombana radhi wao wenyewe
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Wadau habari, Kwa mara nyingine Matokeo 'mapya' ya kidato cha nne yametangazwa na Baraza la Mitihani na ufaulu umeongezeka kwa asilimia 9 tu! Kitu ambacho kinaashiria wazi kua chanzo cha matokeo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Binafsi huwa sipendi kushabikia siasa na wanasiasa japokua ndio wameshika hatamu na maamuzi katika kila jambo linalogusa mustakabali wa nchi hii(Tanzania), lakini katika hili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa maelezo aliyoyatoa mhe. Mwigulu ambae ni naibu katibu mkuu wa CCM bara kuhusiana na vyama vya upinzani nchini, ni kama yafuatayo, nanukuu, "HUWEZI KUFANANISHA CCM NA CHAMA CHOCHOTE...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ni Mheshimiwa Sakaya wa viti maalum CUF ndiye anayechangia kwa ufasaha,anajenga na kutetea hoja! Lakini waliobaki tena wanaotoka Zanzibar wamekuwa mzigo hawachangii hotuba ipasavyo! CUF...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Akiwataka wananchi wa Kata ya Mianzini, Mbagala, Temeke Dar es Salaam kutofanya makosa kusikiliza propaganda za udini za CCM na kile chama kingine walichoungana nacho, Shehe Juma Mwipopo ametoa...
21 Reactions
191 Replies
17K Views
Habari za asubuhi wana Jf. Nimatumaini yangu wengi mtakuwa mmefatilia kilichojiri jana bungeni. Kwa upande sikuweza kuona live kutoka bungeni kutokana na majukumu. Lakini nimepata kilichojiri...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali YA CCM inapaswa kujua na kutambua kua uhai wa mtanzania mmoja una thamani zaidi ya trillion za gesi huko Mtwara hivyo basi inatakiwa kwanza kulinda uhai wa watanzania na sio kuthamini...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Back
Top Bottom