Imani Yangu: NIKIAMINICHO MIMI BAADA YA UCHAUZI MKUU 2015

A Preacher

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
62
Reaction score
23
Ndg wana JF
Najua kila mwanadamu anaimani yake! Ila kwa upande wangu mimi nina imani hii baada ya uchaguzi mkuu 2015.
  • Dr. Slaa ndiye ataye kuwa rais mteule wa nchi hii pamoja kwamba wapo watakaoiba kura zake nyingi ila mwisho wa siku zhazitawatosha maana zitakuwa nyingi mno
  • Mafisadi wote wakati huo watakuwa na mawazo tofauti, wapo watakaotaka kuihama nchi maana najua kabisa hatakuw na utani nao
  • Kuanzia mwaka huo Watanzania wengi walio wa hali ya chini watajenga nyumba nyingi za kuishi zenye kufaa na sio hizi za tembe za serikali mbovu ya CCM
  • Pia Watanzania wengi watanufaika na rasilimali zao na sio kama sasa hivi BABA, MAMA NA WATOTO wa wakuu wa nchi ndio wananufaika
  • Wanafunzi hawatafukuzwa vyuoni kwa mitazamo ya kisiasa kama ilivyo sasa
NAWASILISHA!
 
Dhibitisha,
 
Mziki wa Slaa ni mzito, Ukiona hadi baba RIZ anaomba msaada msikitini na kwa CUF ujue palikuwa hapatoshi 2010
 
Ukimuangalia Dr. Slaa machoni, utamuamini anacho kisema. Lakini ukimtazama Mfalme ama wanao toka kwenye genge lake, wana macho majanja majanja ya kupiga dili!
 
Rais 2015 ni lowasa!. Dr slaa ni kama lipumba na wakat ule Mrema ni wasindikizaji 2 hao!
 
Ndg wana JF
Najua kila mwanadamu anaimani yake! Ila kwa upande wangu mimi nina imani hii baada ya uchaguzi mkuu 2015.
  • Dr. Slaa ndiye ataye kuwa rais mteule wa nchi hii pamoja kwamba wapo watakaoiba kura zake nyingi ila mwisho wa siku zhazitawatosha maana zitakuwa nyingi mno
  • Mafisadi wote wakati huo watakuwa na mawazo tofauti, wapo watakaotaka kuihama nchi maana najua kabisa hatakuw na utani nao
  • Kuanzia mwaka huo Watanzania wengi walio wa hali ya chini watajenga nyumba nyingi za kuishi zenye kufaa na sio hizi za tembe za serikali mbovu ya CCM
  • Pia Watanzania wengi watanufaika na rasilimali zao na sio kama sasa hivi BABA, MAMA NA WATOTO wa wakuu wa nchi ndio wananufaika
  • Wanafunzi hawatafukuzwa vyuoni kwa mitazamo ya kisiasa kama ilivyo sasa
NAWASILISHA!

Nakuunga mkono, na mawazo.....
 
Jembe na nyundo vina maana yake je nini mana ishara ya vidole viwil juu kam hujui cku pita br ya tandale,panda dcm za mbagala zilizo jaza utajua mana ya ndole ukisha ibiwa utajua dhamila yao nini
 
mtoa mada umesahau ponti moja....sehemu zote muhimu watashika wachaga
 
ni kweli kabisa kama ndoto zako hazijatimia lala tena mpaka zitimie
 
tendo la imani siku zote lazima liambatane na upumbavu sababu in real sense ukianza kufikilia lazima ubishe kwa hiyo lazima ukubali kuwa mpumbavu ndipo uamini kwa akili za kawaida huwezi and that is a difference between scientist and religous scientist believe in measurement and proof they believe in what can be seen,heard,touched,smelled by human but religious believed in what can not be seen,heard,touched,smelled by human just like a dream with 50% of which faith can be testfied and 50% cant be testified
 
Imani yako ni imani yangu Dr lazima akarudishe heshima ya Ikulu
 
Mahakama ya kadhi itakuwepo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kwel kabisa lowasa awezi kuwa raisi wa nchi hii.
kwanza kwa vigezo gani?
na watanzania wangapi watampa kura mpaka kushinda kuwa raisi wa tanzania?
ccm wote wananuka rushwa na awatufai kabisa kwenye nchiiii kabisa
 
Kuna wimbo mmoja jamaa huwa anasema hawachekani chizi na mwenye utindio wa ubongo
 
Ndg wana JF
Najua kila mwanadamu anaimani yake! Ila kwa upande wangu mimi nina imani hii baada ya uchaguzi mkuu 2015.
  • Dr. Slaa ndiye ataye kuwa rais mteule wa nchi hii pamoja kwamba wapo watakaoiba kura zake nyingi ila mwisho wa siku zhazitawatosha maana zitakuwa nyingi mno
  • Mafisadi wote wakati huo watakuwa na mawazo tofauti, wapo watakaotaka kuihama nchi maana najua kabisa hatakuw na utani nao
  • Kuanzia mwaka huo Watanzania wengi walio wa hali ya chini watajenga nyumba nyingi za kuishi zenye kufaa na sio hizi za tembe za serikali mbovu ya CCM
  • Pia Watanzania wengi watanufaika na rasilimali zao na sio kama sasa hivi BABA, MAMA NA WATOTO wa wakuu wa nchi ndio wananufaika
  • Wanafunzi hawatafukuzwa vyuoni kwa mitazamo ya kisiasa kama ilivyo sasa
NAWASILISHA!
Ndoto hiyo,hana atakalobadilisha uangalie alipokuwa mbunge amebadilisha nini katika jimbo lake toka 1995-2010. Matokeo yake wataingia mafisadi wapya wa CDM akina.....

.
 
Back
Top Bottom