Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamanda Mawazo yuko na makamanda wakivuka kuelekea Lugata kwenye kampeni,anaenda kujibu mapigo ya mama wa waziri Tizeba kumsingizia kutaka kumbaka mgombea wa cdm
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Leo ni siku ya tano tang msanii wa kizazi kipya Albert Mangwea afariki dunia.Namkumbuka marehemu alivyokuwa mstar wa mbele katka kukisaidia chama cha mapinduz kuingia ikulu mwaka 2010 kwa kuimba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini sisi Watz tunafwatilia sana mambo ya Bungeni? Nimebahatika kutembelea Nchi nyingi Duniani lkn sijawahi kuona Nchi ambayo watu wake wanafwatilia sana kinachoendelea Bungeni kama...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Mhe.Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema leo Bungeni wakati wa kuchangia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje kuwa kikatiba Mkapa alikuwa Sahihi kumtolea ushihidi Prof. Coasta Mahalu kwenye kesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Akichangia wizara ya mambo ya nje kwa mbwembwe na kumpigia upatu Membe: Mama alisema Tanzania inaheshimika sana nahizo jitihada za JK na Membe.Anaendelea sema mkienda Nje mtasikia jinsi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Singida mjini (CCM) Mh. Mohammed Gullam Dewji amemwaga misaada mbalimbali ikiwemo kuwaongezea mitaji wauza kahawa chungu, ambayo haijawahi kutolewa jimboni humo na mbunge au mfadhili...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa nyaraka hizi zinazoonyesha Katibu mkuu wa ccm kinana akiingilia na kuagiza kesi iliyomtangaza Tundu Lissu kuwa ndie Mbunge halali wa Jimbo La singida Mashariki ikatiwe rufaa na yeye kuonekana...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Namsikiliza wenje msemaji wa kambi ya upinzani bungeni wizara ya mambo ya nje, anatoa matusi mengi huku akimnukuu mwalim nyerere. Maneno yaliyotawala hotuba yake ni wapu;bavu,wajinga, hamna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kampeni zinasonga mbele,kila chama kinajigamba. cdm wanasema cuf ni tawi la ccm kwa hiyo ushindi wao n ushind wa ccm.Wao ccm wanadai ndyo wanaweza kuongoza tuu, cuf nao hivyo hvyo. Cdm wanajiita...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tajiri anaponyonya maskini Nchi za magharibi kuna uwezekano wa kusababisha matatizo yanayotokea sasa hivi nchi ikiwa ni malengo ya kutengeneza mazingira ya nchi kuingia vitani ili kuwa na soko...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto, Bw. Mwanga amempeleka polisi mtumishi wa halmashauri Bw. Mohamedi Semkamba kwa kosa la kuchelewa kuondoa vifaa vya mwenge. DC alikasirishwa na kitendo cha Bw. Mohamedi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kutoa ushauri kwa viongozi wa CHADEMA kupeleka vuguvugu la mabadiliko Zanzibar, CUF washajiishia huko maana watu hawajui hata mlengo wa chama , ni wakati wa kwenda kuzindua M4C sasa mpaka...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
REMARKS BY HIS EXCELLENCY JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE FIRST MEETING OF THE REGIONAL OVERSIGHT MECHANISM OF THE PEACE, SECURITY AND COOPERATION...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
New CCM Secretariat: Secretary General: Kinana; Deputy Secretary General: Mwigulu; Deputy Secretary General: Ali Vuai; Foreign: Migiro; Finance: Meghji; Organisation: M.S.Khatib...
2 Reactions
296 Replies
25K Views
WENJE, KUHUSU HOJA YAKO YA KUKIHUSISHA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) NA USHOGA,ULIFANYA TAFITI AU ULIMEZA KAMA KAWAIDA YENU CHADEMA ? REJEA YAKO: Oxford Manifesto 1997 The Liberal Agenda for the 21st...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari Mwandishi Wetu Toleo la 296 29 May 2013 UAMUZI wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kuazimia kutwaa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa waliotazama habari ya saa mbili usiku huu atanielewa. ITV kwanza wameanza kumwonyesha Mh. Mbowe akiomba msamaha bungeni halafu akafuatia wa CUF,ilhali haikuwa hivyo bungeni...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
  • Closed
Akihutubia wakazi wa kata ya Kaloleni leo hii mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema amewaambia wakazi wa kata ya Kaloleni ikifika tarehe 16/7/2013 hakuna kwenda kanisani kwasababu hata kumchagua...
7 Reactions
178 Replies
14K Views
Kufuatia wito wa rais Jakaya Kikwete kwa marais wa mataifa ya maziwa Makuu marais Paul Kagame, wa Rwanda, Joseph Kabila wa jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Yoweri Museveni wa Uganda...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Wana JF, Habari za jioni ! Kwa bahati mbaya sana mimi sio mfuasi wa chama chochoote cha siasa kwa hiyo haya nnayoyaandika ni mawazo yangu tu binafsi yasiyokuwa na " interest " kokoote katika...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom