Ndugu wana JF kila dalili zinaonyesha kuwa kifo cha magamba kiko njiani na 2015 ndiyo itakuwa mwisho wake.
Hii inatokana na kwamba ------ mwenye ameshayatangazia makundi yaanze kijipitishapishaja...
Maneno hayo ameyasema mbunge mtarajiwa wa jimbo la tarime ambae pia ni mwenyekiti wa umoja wa vijana chadema bavicha alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara mjin morogoro ... Pamoja na hilo la...
kwa mwenedo wa chama cha CHADEMA ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa CHADEMA...
Katika mkutano wao wa kwanza uliofanyika maeneo ya Kamficheni walipika wali na nyama kitu kilichofanya watu waliohudhuria mkutano wa chadema katika eneo la Maendeleo kuondoka mkutanoni kuwahi...
JESHI la Polisi wilayani Igunga, mkoani Tabora, linashikilia malori nane mali ya Kampuni ya Kichina ya Sun Shine Mining Ltd, kwa kosa la kusafirisha shehena ya mchanga wenye madini bila kibali...
Salam wanaJF,
Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Endapo moja kati ya hizo itajitoa ama akitaka uhuru wake basi Muungano ndio utakuwa umezikwa rasmi, Hivi leo tumeona Mkutano mkubwa...
By Citizen Reporter
Posted Tuesday, May 28 2013 at 22:12
In Summary
•I call on you to demonstrate your leadership at the (G8) Summit by putting in place aggressive sanctions against...
Dodoma. Siku chache baada ya Waziri wa Afrika Mashariki Samuel Sitta kumhusisha Dk John Magufuli na kundi la urais la mwaka 2015, Waziri huyo wa Ujenzi, ameibuka na kupinga kauli hiyo...
Membe amesisitiza kuwa kama Msumbiji waliwashinda Malawi, basi watanzania wasiwe na shaka kwakuwa Tanzania haina shaka itashinda kuwa mpaka upo katikati ya Ziwa Nyasa.
Nimefurahishwa na hoja ya Mhe. Mpina juu ya Serikali kupunguza matumizi yasiyo ya lazima pamoja ya ufisadi unaofanywa na serikali katika maeneo mbalimbali.
Ila the way Mwenyekiti wa bunge...
List ya Vyama Rafiki vya CHADEMA katika IDU
Quote By Chasha View Post
Associate members
Country Party Abbr Government
Argentina Republican Proposal PRO in opposition
Belarus Partyja BPF PBNF in...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali ombi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyofungua kupinga maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, ya kuendelea kuwatambua Meya wa...
Kwa mara nyingine tena kutakua na mikutano ya hadhara ya kukijenga chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya same. ambapo ratiba nikama ifuatavyo tar 9/6/2013 utafanyika mkutano kata...
Kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara (wa amsha mwana Morogoro), utakaohutubiwa na Kamanda Dr Wilbrod Slaa (Katibu Mkuu wa CHADEMA), Siku ya Jomamosi, tarehe Moja Mwezi wa Sita mwaka 2013. Mkutano...
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania
Zambia-millioni 1.9
Namibia-millioni 5.7
Africa kusini-millioni 6.2
botswana-millioni 4.023
kenya- walikuwa...
Wakuu na maGT naomba mnisaidie, mbona sijawahi kusikia CHADEMA wakiandamana moshi au ndo kusema Moshi hapana matatizo kama ambayo huwasababisha wao kuandamana sehemu nyingine? Au ndo kusema Moshi...
Hi!
Mbona hotuba ya upinzani bungeni inashadadiwa sana na wananchi kuliko bajeti ya serikali? hotuba ya upinzani ni maoni tu kwa ujumla wake lakini wananchi wengi wakiwemo wana JF wengi...
ndugu wana JF tumekuwa tukishuhudia kila wakati ambapo kuna mijadala katika televisheni na watu wa kada mbalimbali kuhudhuria
lakini katika mjadala wa kipima joto hapo jana katika ITV mtazamaji...
Wizara ya mambo ya nche imenishangaza kweli kweli, yani imepewa nusu siku tu! Yani wizara imechangiwa na wabunge wa tatu tu?
Hivi hii wizara kwa nini bunge wameipa nusu siku?
Hii wizara ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.