Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,253
- 1,229
Akihutubia wakazi wa kata ya Kaloleni leo hii mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema amewaambia wakazi wa kata ya Kaloleni ikifika tarehe 16/7/2013 hakuna kwenda kanisani kwasababu hata kumchagua kiongozi mzuri ni ibada na amewaambia wachungaji siku hiyo wasamehe mambo ya sadaka,hayo maneno ameyasema akimtambulisha mgombea wa Chadema kata ya Kaloleni bwana Emannuel Kessy.
Kwanza kabisa tarehe ya uchaguzi mdogo ni tareh 16/06/2013 na siyo kama alivyosema mleta maada, Mh. Lema amesema ikiimanisha kuwa kumekuwepo na kasumba ya wakristo kulalamika kuwa hawakumchagua kiongozi furani eti walikuwa kanisani sasa Mh. amewaambia hata kumchagua kiongozi bora ni ibada pia hivyo wahakikishe wanapiga kura siku hiyo kumchagua kiongozi bora...