Kwa waliotazama habari ya saa mbili usiku huu atanielewa. ITV kwanza wameanza kumwonyesha Mh. Mbowe akiomba msamaha bungeni halafu akafuatia wa CUF,ilhali haikuwa hivyo bungeni! pili,hawakumwonyesha Mh. Mbowe akiongelea hoja ya msingi kabla ya kuomba msamaha,wameaanda ka clip ambacho Mh. Mbowe, kwa ambaye hakuangalia bunge hatamwelewa anaongea nini, lakini wa CUF alirekodiwa vizuri tu! ITV vipi? TBC flan?