Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii si sawa na lazima isemwe. Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa. Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na...
1 Reactions
16 Replies
935 Views
Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo. Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa. Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka...
3 Reactions
11 Replies
630 Views
Rais Samia amewezesha upatikanaji na usambazaji wa viuatilifu vya korosho (salfa ya unga tani 109,083.695, viuatilifu vya maji lita 8,823,687.5, na mabomba ya kunyunyuzia viuatilifu 6,337) vyenye...
-1 Reactions
11 Replies
420 Views
UMOJA NA MSHIKAMANO VYA TAWALA HOTUBA ZA VIONGOZI MKUTANO WA SADC Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 17, 2025, huku...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Kesi ya madai dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho inatajwa leo, Agosti 18, 2025, katika Mahakama Kuu. Shauri hilo Na. 8323/2025) linahusu zuio la kufanya shughuli...
2 Reactions
11 Replies
727 Views
Wanabodi, Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa...
17 Reactions
240 Replies
18K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vyake vya kitaifa vitakavyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Wanabodi, Ni Mungu pekee ndiye huweka serikali za mataifa, hivyo marais wote ni mpango wa Mungu. Kama ni Mpango wa Mungu, Uhakika wa Ushindi ni Asilimia 100% kwa 100%, kwa sababu Mipango ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna jambo la kujifunza hapa kwa wazazi wanaowatelekeza watoto wao kwa bibi zao Soma pia: Acheni kuwatelekeza watoto wenu kwa bibi zao
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Wakuu ivi mpina bado anawenge au hajapewa notes?? nimekuwa nikifatilia mpina akipanda jukwaani naona kuna kitu kina miss kwake ni kama vile hana notes anatumia past papers kujinadi, nani...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo. Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
https://www.youtube.com/shorts/QtDuQaR7buM https://www.youtube.com/shorts/IZFPVTnGToM Wanasema yuko thin skinned, lakini viongozi wote wa Tanzania tangu tupate uhuru walikuwa thin-skinned. Il...
9 Reactions
13 Replies
883 Views
Wakati Mussa anapigana na yule Mmisri walikuwa Wawili tu hadi alipomuua na kumfukia ardhini Kumbe kuna mtu wa tatu alimuona na akahifadhi ule ushuhuda Moyoni akisubiri wakati sahihi ndio...
2 Reactions
1 Replies
440 Views
Wananchi wamemtiririshia majibu ya kumkashifu na kumshambulia baada ya kupost clip video inayoonyesha kuwa Rais Samia hajahusika na ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima lililo chini ya Askofu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye...
27 Reactions
82 Replies
4K Views
Wakuu hii tuseme ni ushamba au ndio ulinzi unaimarishwa? Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma, zaidi ya magari 150 msafara wa Rais
4 Reactions
24 Replies
2K Views
PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akikagua gwaride la Amani. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka leo amehitimisha na kufunga mafunzo ya wiki miezi 4 ya askari 114 mkupuo...
2 Reactions
10 Replies
670 Views
Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina...
23 Reactions
32 Replies
3K Views
INTRODUCTION Dear President Samia, the saying that "actions speak louder than words" means that a person's behavior and actions are a more reliable indicator of their true intentions and feelings...
7 Reactions
6 Replies
6K Views
HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila. Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho...
1 Reactions
6 Replies
484 Views
Back
Top Bottom