Kila mtu anajua alishamwaga damu kwa kupigwa risasi zaidi ya 30.
Leo hii kuna mpango anyongwe ...
Damu ya Tundu Lissu italeta katiba mpya, italeta uhuru wa kisiasa na mabadiliko makubwa
A young man to Provide wisdom to some people ...who will begin to seek wisdom from him...on how the Direction of the Country will be mapped....
The Young Man they will take from one location to...
Wakuu, chama kimeporwa na genge la wahuni aka wana mtandao. Tusaidieni kukirudisha mikononi mwetu ili mambo yakae sawa.
October tunatiki, mama yetu kipenzi tunakupenda sana. No reforms no election.
Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema
"Lazima tuambiane ukweli, sisi viongozi huku meza kuu na nyinyi viongozi huko, kwa sababu sote tunakwenda kwenye maamuzi...
==Ndugu Wananchi, akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema:
“Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya...
Sekta
Kipengele / Mradi
Kiasi / Idadi
Mafanikio / Maelezo
Mifugo
Milipuko ya magonjwa ya wanyama
72% (2021) → 15% (2025)
Kupungua kwa milipuko ya magonjwa
Mifugo
Viwanda vya vyakula vya...
Sijui waliishiaga wapi viongozi wenye msimamo kama hawa katika nchi zetu?
Viongozi wenye uwezo wa kukataa hongo zisizo na mbele wala nyuma kwa maslahi mapana ya nchi
Viongozi wenye uwezo wa...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka viongozi wa chama hicho, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kutokubali kudanganyika na kusaliti...
Sina mengi Sana Wana JF
Bandiko langu ni kumsihi ndugu yetu Kwanza atubu waliyofanya na Magufuli ya kinyume na katiba.
Pili hadi sasa hivi press zake si kitu Kwa CCM, uliahidi mama asipokusikia...
Mpaka sasa, kama alivyosema Polepole, wahuni wamefanikiwa kuteka kila kitu:
1. Wahuni wameteka dola, ndiyo maana tunaona hakuna chombo chochote cha ulinzi na usalama kikishughulika na kuwakamata...
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam...
Kinachotokea katika nchi ya Gondwana ni aibu, ni aibu kubwa kwa mahakama kuwa kama danguro . Majaji wazima ukiwaona katika majoho yao utadhani ni watu makini. Kumbe hamna kitu, ni madalali wa...
Angalia katuni hii ya mwaka 1925 iliyochorwa na Bob Minor, yenye kichwa cha habari "Siku Moja Wataamka", ambayo inaonesha utabiri wenye nguvu kuhusu mabadiliko ya nguvu za dunia. Inazionyesha...
https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E
Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza...
Kete ya Mtendaji Mkuu wa MCC kuwa ajaye 2030 ilisukwa vizuri baada ya swahiba wake aliyekuwa nae kwa kina Gaucho kipindi akiwa balozi kuukwaa u DG wa Meno.
Kwa kuwa huwezi kuwa Rais wa Nchi ya...
Kutofautiana kimawazo katika nchi ni jambo la afya. Haiwezekani sote tukawa na mtizamo mmoja. Hata watoto mapacha hutokea wakati wakatofautiana.
Kwa bahati mbaya kuna zama zimepita kwa...
Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.