Habari wanabodi,
Hii habari kwangu imenishangaza hasa nilipomsikia Raisi Magufuli akisema kwa kujiamini kabisa kwamba hakupokea hata shilingi moja kama mchango kutoka kwa mfanyabiashara yeyote...
Huwa hawakurupuki kufanya Jambo lao
Ni kanisa lililojaa majasusi mpaka wavaa baragashia.
Hawa ndio serikali kubwa kuliko zote duniani.
Hawana ndio wanashikilia uchumi wa dunia kupitia kupitia...
Sijawahi kumsikia Rais John Pombe Magufuli akitamka kuwa anawachukia wafanyabiashara na wawekezaji. Nachojuwa mimi ni kwamba Mh. Rais hapatani na wafanyabiashara wasio waaminifu, wasio lipa kodi...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kitamuenzi marehemu George Mwingira, maarufu kama MC Mwingira kwa kuzifanya nyimbo zake kuwa hazina ya chama hicho.
MC Mwingira...
Tuliona Kipindi Lema akiwa Mbunge alivyopata misukosuko hapo Arusha, wengine tulidhani ni kwa sababu ni Mbunge Kutoka Chama Cha Upinzani!
Akaja Gambo na Mongella baadae Makonda, Hawa wote ni...
Champezi Hassan Mwakinyo
Umegusia jambo muhimu sana katika harakati; Tundu A.M Lissu kujitetea Mahakamani katika mashtaka ya uhaini, wakati huo;
Tundu Lissu anafundisha jumuiya yote kuanzia...
Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni...
USHAURI
Gwajima amesema kuwa ameshauri mara nyingi, na anashauri tena.
Askofu Gwajima amesema kwamba nchi imegawanyika sana, na mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubali kwenda kwenye...
Mbunge wa Nzega vijijjini mh Dr Kigwangala amesema angekuwa kwenye research au Chuo kikuu angeshakuwa Professor Lakini sasa alipo anaishia kutukanwa tu na Vijana wadogo
Dr Kigwangala amelalama...
Hiki ni kile nilichokishuhudia kwa macho yangu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kilichofanyika kwenye so called kuhuisha/kuandikisha wapiga kura wapya.
Ni hivi,
Mwitikio wa watanzania...
"Watu wa Kilwa na Watanzania, ninaomba mniamini, niligombea nafasi ya umakamu kipindi kile nikiwa CHADEMA, leo hii nimeaminiwa kwenye nafasi ya Urais, naomba mniamini kunipeleka Ikulu kijana wenu...
Magari Ya Nyumbu
Utengenezaji Wa Minara
Mashine Ya kulimia
Mashine za Kutengenezea Matofali
Mzee Mwinyi Akikagua
Mwalimu Akipata Maelezo Kuhusu utangenezaji Wa...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anakomesha uvunjifu wa maadili uliokithiri nchini...
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameupiga mwingi katika sekta ya nishati ya umeme visiwani Zanzibar na kufanikisha kulipa deni la shilingi bilioni 291, ambalo Zanzibar ilikuwa ikidaiwa na...
Kumuweka mgombea wa uraisi eti Salum Mwalimu. Geresha hii, haya makapi yaliyojichuja kutoka CHADEMA yataambia nini wananchi ili wawaamini? Watanzania sio wajinga kuwahadaa kwa maneno ya uwongo...
Wakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo.
Tumpe kwanza...
Mioyo ya watanzania imeanza kuamka sasa, hawafuatilii tena vitu visivyo na mbele wala nyuma
Giza limeanza kuondoka, matongotongo machoni mwa watanzania hayakaliki tena, hadi saluni siku hizi...
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na mgombea mwenza wake, Devotha Minja, wakiongoza kazi ya kuandikisha wadhamini wao leo mkoani Lindi.
Mgombea huyo wa CHAUMMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.