Wananchi wamemtiririshia majibu ya kumkashifu na kumshambulia baada ya kupost clip video inayoonyesha kuwa Rais Samia hajahusika na ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima lililo chini ya Askofu...
Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??.
Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??.
Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye...
PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akikagua gwaride la Amani.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka leo amehitimisha na kufunga mafunzo ya wiki miezi 4 ya askari 114 mkupuo...
Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina...
INTRODUCTION
Dear President Samia, the saying that "actions speak louder than words" means that a person's behavior and actions are a more reliable indicator of their true intentions and feelings...
HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila.
Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho...
Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi...
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu...
Halafu Matajiri wanamuweka Rais wetu mfukoni kwa Gharama ya Bilioni 10 kwa mgongo wa Harambee ili waendelee kuchota maji.
Hata hawataki tujue maji yanawaka
VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO
(KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo ...
Gari nyingi saa zimeputa last week,
Kimsingi nchi haiko mikononi mwake ila wana mtandao....
Kwa sasa dola inajitahidi kuzuia uhalisia wa mambo mabaya hata kwa kutumia kodi za wananchi ambazo...
Igwe Watanzania.
Si vita kwa sababu, hao wanaoitwa "wahuni" walishashinda kitambo sana.
Madhara waliyowisha kusababisha kwa nchi, hayawezi kurekebishika hata upewe miaka 10.
Wamejikusanyia...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni Taarifa kwa Umma kutoka kwa chama kiongozi Barani Afrika yaani CCM,chama chenye kubeba matumaini ya watanzania na chenye uchungu na Maisha ya watanzania.
Chama...
Kila wakijitokeza wanakuja na propaganda za maneno ya mdomoni ambayo wanayaita ushauri
Hivi kwa akili za kawaida kabisa kuna mtu anadhani kwamba kuna kiongozi atakaa chini aanze kusikiliza...
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au...
Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu?
My friends, ladies and gentleman,
Chama cha siasa ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.