Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Dunia imebadilika. Masuala ya wagombea kutumia makaratasi na mbao kutengeneza mabango yamepitwa na wakati. Kwanza ni uharibifu wa mazingira. Watanzania wengi wana smart phones na vifaa...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Siwezi sema hakukuwa na matukio ya matumizi ya vyombo vya dola kutumika visivyo kwa maslahi ya Ccm[ kwa state party yoyo duniani hiyo ni 3.14]. Na wala siwezi sema utawala wa kikwete haukuwa na...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa...
0 Reactions
4 Replies
399 Views
Salaam! Tumelalamika humu mara nyingi kwamba wasomi sasa ni wengi, tunaweza kuajiri polisi kwa kigezo Cha degree na wakatosha, sababu mtaani kuna wasomi wengi, Sasa hili la kuajiri wagombea wa...
2 Reactions
67 Replies
1K Views
CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa inakuwa iwewapa nguvu zenu watu wengine. Wahuni hupenda kukaa ndani ya CCM ili...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Mahakama inatakiwa kuheshimiwa na isigeuzwe kama klabu cha pombe. Kuna video clips zinamuonesha mtu mmoja akifoka na kuwatishia watumishi wa mahakama. Nitashangaa sana kama ataachwa free na...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali imesema inatarajia kusaini Sheria ya Mwongozo wa Kima cha Chini cha Mshahara kwa Taasisi za Sekta Binafsi, zinazofanya kazi nchini. Imesema katika mwongozo huo wa hivi karibuni...
2 Reactions
81 Replies
6K Views
..Joshua Nassari alifanyiwa vitimbi vingi wakati wa ubunge wake. ..Na aliyeongoza vitimbi hivyo alikuwa DC Jerry Muro bila shaka kwa maelekezo toka juu. ..mwisho wa siku Nassari akawaachia...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Samia na Magufuli kwa pamoja miaka 10 wameongeza jumla ya 110,000 tu yaan ni sawa na kila mwaka kuongeza 10,000 katika mishahara! Ukiachana na wale wa kima cha chini alichoosema anaweka 35%...
73 Reactions
307 Replies
19K Views
Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka...
0 Reactions
3 Replies
347 Views
Nakumbuka ile siku ya Eid SSH alipoenda msikitini aliingia MTU msikitini na akaa nyuma ya SSH je huyu alikuwa ni nani ?. Na je anaweza akawa Mwanamke huyu ?.
1 Reactions
6 Replies
986 Views
Serikali imesema Inakabiliwa na Upungufu wa Watumishi wa Umma Kwa zaidi ya asilimia 73% ya mahitaji. Ambapo wanaohitanika ni 1,036,762 Waliopo ni 597,396 na Upungufu ni Watumishi 441,366...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa labda mnielimishe, kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa. Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Mbowe KIGAILA MWALIMU CHAUMMA ZITTO SPIKA JAJI MKUU MAHAKAMA YANGA ENG HERSI ALI KAMWE Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu === Kwa siku za hivi karibuni, baadhi ya taasisi zisizo za kisiasa zimeonekana viongozi wake kuonyesha mapenzi yao kwa vyama vya siasa kwa kushiriki moja kwa moja katika shughuli za...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Agosti 2025, ameukabidhi Uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Magu Mkoa Mwanza, Ukumbi wa CCM baada...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Iko hivi ukipewa kufanya kazi chafu na serikali mwisho wake uwa wanakuua ili kupoteza ushahidi na Kama ulipewa pesa ndugu zako ndio uwa wanufaika. Pia uwa wanaenda mbali zaidi ata ndugu yako...
2 Reactions
6 Replies
690 Views
Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia...
34 Reactions
139 Replies
6K Views
Back
Top Bottom