Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wana JF Ukijifunza kwa nadharia tu, mara nyingi watu walio wengi huwa ni vigumu kupata ufahamu mpaka wafanye vitendo (practical). Mwaka 2015 vyama upinzani viliwaeleza namna wananchi...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Nikiwa katikati ya shughuli zangu nimesikia kituko toka kwa Lissu na wafuasi wa CHADEMA eti..''pamoja na maendeleo aliyoleta mjerumani alikataliwa na waafrika sababu hakutenda haki''...
16 Reactions
76 Replies
6K Views
Ninataka kumpigia kura mheshimiwa Rias wetu. Lakini, nahitaji majibu ya kina kwa haya maswali yangu; 1. Miili ya ndugu zetu iliyokuwa ikiokotwa ufukweni mwa bahari. Ili jambo ni jipya...
1 Reactions
2 Replies
807 Views
Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona...
22 Reactions
81 Replies
11K Views
Hata angekuwa anagombea Yesu, Mtume Mohammed au Ibrahim, bado watu wangejitokeza kuwapinga kwa Hoja mbadala, Hivi Leo hii sababu gani yaweza kumfanya mtanzania anayetaka uongozi apite bila...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua. Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua. Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua. Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya...
2 Reactions
99 Replies
13K Views
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona. Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi...
21 Reactions
116 Replies
9K Views
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waleo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa. Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa...
132 Reactions
234 Replies
24K Views
Tuna chini ya siku 150 kuelekea uchaguzi mkuu. Huu utakuwa uchaguzi mkuu tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote zilizopita Hakuna amsha amsha hakuna shamra shamra Hakuna kimbiza kimbiza...
18 Reactions
57 Replies
6K Views
Habar za muda huu ndugu wanabodi Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot. Habari kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa CCM wamejipanga kukihujumu Chama Cha...
38 Reactions
85 Replies
9K Views
Wanabodi, Wananchi hawashibi barabara, ndege, madaraja au hospitali. Wananchi wanahitaji chakula na pesa mwaka huu 2020. Hili chama changu cha CCM ndio tunapaswa kulihubiri kwenye kampeni...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao...
12 Reactions
62 Replies
7K Views
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011. Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa...
75 Reactions
167 Replies
14K Views
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu. Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa...
13 Reactions
68 Replies
5K Views
Wanaukumbi! Lissu alikuwa wapi siku zote hadi aje sasa kusema hivi? Kwa nini anamzushia Mh Rais mambo ya hovyo,uongo na uzandiki mkubwa namna hii? Rais kikwete aliwahi kusema CHADEMA...
13 Reactions
156 Replies
14K Views
1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa) 2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje? 3. Moshi Mjini...
40 Reactions
169 Replies
18K Views
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu. Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati...
93 Reactions
391 Replies
38K Views
Sijui ni kutokujielewa…sijui ni ujinga…sijui ni kutokujua unataka nini…sijui ni kutokujua kuwa hujui…sijui ni nini hasa! Manake sielewi. Kama CCM waliiba uchaguzi wa 2020. Uchaguzi uliowapa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni? Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia...
1 Reactions
143 Replies
17K Views
Back
Top Bottom