Mpo Salama bila Shaka!
Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo.
Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji...
Hivi Ndugu yetu Tundu Lissu akiomba tu Msamaha mbele ya Watanzania kwani kuna ubaya?kuliko "vichekesho" hivi anavyofanya Mahakamani paleMahakama.ya Hakimu Mkazi -Kisutu wakati hata KESI yenyewe...
Rais Dk. Samia afungua
fursa kwa vijana EACOP
Na Mwandishi Wetu, Geita
Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imezidi kuwajali vijana, baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto...
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala...
Wakati akizungumza katika mkutano wa vya viongozi wakuu wa vyama vya siasa wakipatiwa mafunzo ya sheria ya gharama za uchaguzi. MWanadiplomasia na mbobezi wa Itifaki Omary Mjengwa amegusia suala...
Kuna vitu havielezeki ukiviwaza kwa ndani. Mojawapo ya jambo lidiloelezeka na kuonekana ni kama utoto wa kikubwa ni hii kesi inayoendelea ya Jamhuri dhidi ya Lissu. Unakaa unawaza, hivi kweli...
Rais John Magufuli amemrudishia hadhi ya ubalozi Profesa Costa Mahalu kuanzia leo, Katibu Mkuu Mambo ya Nje, Adolf Mkenda amesema.
Katika taarifa aliyoitoa, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
I am hitting the ground while running.
Ndugu zangu salamu zangu hizi hapa. Hebu someni attachments hizi muone nani mwongo.
Regards
na hii pia:
Re: Yanayozungumzwa Ministry of Foreign and...
Prof. Mahalu amemtuhumu Kikwete kwamba akiwa Rais alimfungulia kesi ya ufisadi kiuonevu, wakati yeye mwenyewe Kikwete ndiye aliyesimamia uuzaji wa nyumba ya Tanzania kinyemela huko Italy akiwa...
Baada ya Washitakiwa hawa kuonekana wanayo kesi ya kujibu , kuna juhudi kubwa kutoka kwa upande wa serikali kutaka kujua na kuwafahamu Mashahidi wa Utetezi (Haifahamiki malengo ya jambo hili) ...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:
Hakuna aliyefunga...
Soma hapa chini halafu uniambie. Je, Tanzania hatujakaribia kutawaliwa na familia?
MMFUMO WA UONGOZI WA KOREA KASKAZINI.
North Korea's system of leadership is a hereditary dictatorship, with...
Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia...
A political leader who behave like anybody that is not a political leader Lack of emotional intelligence and failure to build relationships! Niwatakie mchana usiku mwema
Yaani mtu kama huyu ambae hata ajaanza kujitegemea kimaisha ndio mnatuma kumjibu Gwajima.
This is political poor sense of Thinking.
Kama mnamtuma basi mnakosea sana.
Muuza Kangala.
Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo...
Kwa sasa wenye mamlaka wameamua kutumia silaha zote dhidi ya wanaotetea Haki, Utawala Bora na Demokrasia.
Wameona kuua, kuteka na kupoteza haitoshi hivyo sasaivi wamevifanya vyombo vyote...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2025 imepanga kutoa amri kuhusu kurushwa mubashara kwa maelezo ya mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliotaka kuruhusiwa kuendelea na shughuli za kisiasa, baada ya zuio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.