==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei...
DIRA2050: Tanzania kumiliki uchumi wa TZS2,600Trilioni pesa hii kwa hesabu za leo inaweza kugawiwa kwa Watanzania wote na kila mmoja hadi watoto akapata TZS44 milioni
Ifikapo mwaka 20250...
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku maana yake wanafunzi walikosa baadhi ya mahitaji yao muhimu ya siku.
Miaka Mitano...
Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa...
Kutokana na kuvunjika kwa CCM hebu tujikumbushe Maneno ya Mungu katika Kitabu cha Luka Mtakatifu, mlango ule wa 15 kwenye Mstari wa 7
Baada ya kusoma Tafakari hilo neno kwa kina
Mpina amesisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa maneno ya kupinga hatua yake ya kuwania urais, hana hofu kwani amejipanga kuwasaidia Watanzania.
“Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, mara...
Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu?
Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu?
==========================================
Akiwa anazungumza leo katika...
Inatubidi Kuung’oa Mzizi wa CCM ili Kuikomboa Tanganyika
1. Utangulizi
Kwa zaidi ya nusu karne, Tanganyika imekuwa mateka wa mfumo wa chama kimoja kilichovaa koti la demokrasia ya vyama vingi...
Kuna wimbo wa wanasiasa hupenda sana kuuimba, ''kudumisha amani, kulinda amani n.k.'' wakielewa kabisa hakuna silaha yoyote inayoweza kuilinda AMANI...
Viongozi wanajua Amani ni matokeo ya HAKI...
Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa...
Tusifanye makosa dhidi ya watu hawa tukidhania tunaowakosea ni wao kama individuals bali wao ni Taasisi.
Kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia naamini kosa dhidi yao halina sababu ya kuthibitishwa au...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa JNICC ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, inatoa mafunzo ya Sheria mpya ya Gharama za Uchaguzi, kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vyote vya siasa nchini...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Yokohama, Japan kumwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri...
For the Record: What Goes Around Comes Around!!!
Leo wapinzani wa Serikali ya Magufuli tumesemwa sana na kutishiwa kushughulikiwa bungeni na nje ya Bunge.
Kwa sababu hiyo, naomba niweke rekodi...
Nimeona kwamba Polepole ni mwanadiplomasia aliebobea sana katika nyanja hiyo na negotiations. Ni watu wenye akili na busara ambao watakuwa wameona kwamba baada ya Samia kukataa kusikiliza ushauri...
Waheshimiwa Wabunge wetu. Nimemsikiliza Spika Ndugai akiweka msimamo wake kuhusu hatua yenu ya kuondoka Bungeni kwa muda.
Spika Ndugai anastahili kujibiwa rasmi na hadharani, na napendekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.