(Docs): Siri ya Kesi ya Mahalu: Ununuzi wa Jengo la Ubalozi Italia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

(Docs): Siri ya Kesi ya Mahalu: Ununuzi wa Jengo la Ubalozi Italia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WhoToldU, Apr 1, 2011.

 1. W

  WhoToldU Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I am hitting the ground while running.
  Ndugu zangu salamu zangu hizi hapa. Hebu someni attachments hizi muone nani mwongo.
  Regards

  na hii pia:
  Re: Yanayozungumzwa Ministry of Foreign and International Affairs (MFAIC) na mitaani kuhusu FITNA zilizofanywa dhidi ya Professor Mahalu na kesi anayokabiliwa nayo mahakamani Tanzania.
  1: Kwamba Balozi Mahalu alikataa begi lile la "diplomatic bag" lisitumike katika ubebaji wa PESA toka nchi za Ulaya Mashariki zilizopelekwa Ubalozini Roma ili zisafirishwe kwenda Dar es Salaam kwa ajili ya kampeni ya URAIS ya mwaka 2005.
  Inasemekana kwamba Balozi Mahalu alikataa utumiaji huo wa diplomatic bag kwani haukuwa sahihi. Kwa kuzingatia utaratibu na kanuni yeye alikomolewa kwa kufukuzwa kazi

  2: Kwamba Balozi Mahalu alikataa kushiriki katika njama za kuiba pesa ya Watanzania Euro billioni 2.4 kwani katika tathmini iliyofanywa na Wizara ya Ujenzi kuhusu Jengo la Ubalozi, bei ya Jengo hilo lingegharimu Euro billioni 5.5 na siyo Euro billioni 3.1 bei ambayo ndio bei ya Jengo iliyokubaliwa chini ya usimamizi wa Balozi katika mchakato wa ununuzi.

  Wapo maofisa wa Wizara ya Nje walioshinikiza serikali inunue jingo lile kwa Euro billioni 5.5 kwa kushirikiana na aliyekuwa Honorary Consul, Tanzania Consulate ya Milano, marehemu Avvocato Georgio. Uadui na chuki dhidi ya Balozi Mahalu ulitokana na hilo pia.

  3: Kitendo chake cha kuwakirimu Ubalozini Maaskofu wa Kanisa la Katoliki waliotembelea Italia kilionekana kama kurasimisha UKRISTO wa Ubalozi pale Roma. Tuhuma hizi zipo sambamba na kile alichozusha Shehe na Mnajimu mmoja kwamba Balozi Mahalu ni adui wa Uislamu kwani Balozi Mahalu ndiye aliyetayarisha Memorandum of Understanding (MOU) kati ya Serikali na Kanisa ili Taasisi za Kikristo zilizokuwa chini ya Serikali zirudishwe na kuwa chini ya Kanisa kama ilivyokuwa awali.

  4: Umiliki wa Balozi Mahalu wa shamba la hekta 500 kandokando ya barabara iendayo Bagamoyo haukumfurahisha aliyekuwa Bosi wake enzi zile kama Waziri wa MFAIC. Sasa hivi shamba lote limemegwa na kuwa sehemu ya EPZ ya Bagamoyo.

  5: Kama michezo michafu iliyochezwa kwenye majengo ya Ubalozi wetu Burundi, Khartoum na nchi nyingine, Balozi Mahalu alishitulia NJAMA za kuuzwa kwa jengo la makazi ya Balozi pale Roma. Njama hizi zilibuniwa na maofisa wa MFAIC.

  Balozi Mahalu alihakikisha kwamba suala la uuzwaji huo kiholela limefikishwa kwenye vyombo vya sheria kule Italia na kufanikiwa kurudisha umiliki wa hilo jengo kwa serikali ya Tanzania.

  Na hapo pia balozi Mahalu alijiongezea MAADUI ambao wamedumu hadi leo.
   

  Attached Files:

 2. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... du du duuuuuuu! WhoToldU?
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Whotoldyou,

  Naona hayo mahesabu ya mabilioni ya euro umeyatunga.

  Toa hizi pumba hapa. Sikukuu ya wajinga imekwisha muda wake.
   
 4. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ...kwa sisi tunaomfahamu mkulu hatushangai hii post. jamaa ni mtu wa visasi sana ila kuna watu wataibuka na hoja ya udini ku-divert main theme ya hii thread maana ndio relief yao kuu
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  You are very right... thank GOD the truth is out...
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Mahalu kacheza deal msi mtetee!jee hiyo no 3 alihusika?baada ya kumaliza mou ndiyo kapewa ubalozi huko huko vatican italy?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Inawezekama ni kweli, niliwahi sikia ugomvi wa mkulu na Mahalu chanzo ni nyumba ya ubalozo huko Italy. Nadhani ilipochukuliwa na serikali alienda kufungua mkulu wa enzi hizo na waziri wa ujenzi wa wakati ule. Hapo ndo chanzo cha mtafaruku mzima.
   
 8. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  kaaz kweli kweli.........
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Kwani JK kaanza kuiba leo? Hili ni jizi lililobobea haiwezekani tuwe tunaibiwa kila siku namna ile ile bila wezi kukamatwa. Angalia FBI files jinsi wanavyoshika wezi. Tukitumia style yao tutamkamata chacha hivi.
   
 10. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ndio maana kesi inasuasua...kwa mtaji huu Profesa atapeta kiulaiiini!!
   
 11. A

  August JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  hii ni hao hao ccm wevi na juhudi zao za kutupumbaza na suala la udini, mimi ni mklisto? (mkristo) lakini alicho fanya huyo aliye kuwa barozi/balozi vetu/wetu italia ni wizi hakuna cha udini hapa au aliyekuwa mf or kitu kama hicho na asitake kuegamia wizi mwingine kujinasua, huo wizi mwingine uongelewe independently, na kama mto mada ni mtu mwenye kuitakia tz mema nk , aanzishe tu mada ya wizi kwenye ununuzi wa balozi yetu, burundi ,uingereza nk watu tutachangia kwa minajili ya kujenga na sio kujenga udini. na hata tukijenga huo udini kwa minajili ya kutetea uzembe wizi nk utakuwa ni wa muda tu kwani utaturudi sisi sisi wenyewe wenye kushabikia huo udini. kwani huko hakuna reverse gear., labda tulisukume manual hiulo suala nalo itakuwa ni mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mpaka tutakapo heshimiana
   
 12. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  To me this is rubbish. Huyu Bwana kwa kushirikiana na Balali na wengineo walikula njama za kuongeza cha juu kwa gharama halisi ya hilo jengo. Tunajua kwamba baada ya kufanikisha malipo hayo na kupata cha juu, Balali alienda Rome na huko alifunga ndoa na huyo anayeitwa mke wake kwa kutumia mgao wa hizo pesa. Balali alikodisha Helicopter na harusi ilifungwa angani!!! Huku kulikuwa ni kulewa pesa za ufisadi!!!! Halafu leo aje mtu hapa na kusema Mahalu hakuhusika na anachukiwa kwa sababu ya dini yake?

  Mahalu naye ni mwizi tu pamoja na Uproffesor wake.

  Tiba
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Matatizo yake na hao wana-CCM ilianzia wakati alipokuwa Director of Higher Education; Wakati huo Waziri ni Mkapa; Katibu Mkuu Bilal
  Yeye alisimamia available scholarship ambazo zilikuwa nusu ya funds zinatoka UNESCO but CCM walitaka watoto wa wakubwa wapate tu sio watoto wa wakulima

  He was tough waanza kumsingizia kuwa analipwa kutoa scholarship no proof... then akaenda ubalozini Ufaransa as Assistant Balozi
   
 14. n

  ndutu Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That is very cheap and no body is prepared to stoop too low ans succumb to your propaganda. The guy has been found to have a case to answer in court and he has been tinkering from one court to another, thinking that he would get a reprieve but to no avail. This is a simple case of theft without any element of religion as you want people to believe. Does this explain or justify why a professor of law had to prepare two sets of contract in respect of the same subject matter and what would be the motive? The Seller has testified and stated in no uncertain terms that the price in one of the contracts was unduly inflated. The evidecne has found that the professor stashed some funds, believed to be proceeds of this illegal business in an account in Monaco or some where in Europe. If you thought people here are so stupid as to suport what you are saying then try somewhere else not in this country where people have all the details at finger tips. You can find another way of diverting attention but using religion as an impediment to a fight against impunity will never be acceptable.
   
 15. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mahalu aliposema alitumwa na Katibu mkuu kiongozi alimaanisha nini? Ilikuwa pale mwanzo wa kesi.

  Sijapata ukweli uko wapi lakini tabia yake jamaa huyu pia ni mbaya! mbaya! mbaya! Akiwa pale wizara ya elimu ya juu alifanya madudu managapi na shoga yake Nkapa?
  -Sexual harassment tena zikaandikwa magazetini maana eti scholarship ziliambanishwa na ngono!
  -Kuna pesa (cash) zilipotea akiwa ametumwa mtu kuzipeleka nchi moja ya eastern (nimeishau) kwa ajili ya wanafunzi
  -Ktk balozi zetu nyingi kuna pesa nyingi zilitumwa kwa kusingizia kusomesha watoto wa staff walioko vyuoni, kumbe ni zao na Nkapa

  Baada ya Nkapa kupata U-rais akaona amuondoe ili kufuta nyao. Ubalozini!

  Sasa kwelu huko ali-change? NO! NO!
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ukiwa mkristo tu, yaani utatetewa humu JF. Nijuavyo hata mtoto akiiba wakati akipata kibano mama yake ikiwa hapo huwa yupo tayari kumtetea mtoto wake kuwa hakuiba. Ukiwa mtu wa baa ni tabu sana
  This is KINYESI! SIMPLY.
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mimi ni muilsamu and beleved Mahalu was a victim...
   
 18. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Yaelekea hiyo dini yako imeshakulewesha,ni vema ukawa muumini badala ya kuwa mtumwa wa dini
   
 19. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Umetoa taarifa nzuri tatizo umeandika uongo kwenye amounts! Nadhan lengo lako ni € in millions not in billions! Kuwa makini ktk kuwasilisha amounts may be your target was tsh in billions?
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ama kwa upande wangu nakupa hongera kwa jitihadaako lakini kinachonipa wasiwasi kuwa hujajenga hoja ya kunifanya nione kama mtuhumiwa kaonewa.
  1 Sijaona katika vielelezo ulivyoviwasilisha pahala panapoonyesha huo upelekaji wa pesa ulifanyika vipi? Alikataa kutumiwa dipbag kwa maneno tu? Na kukataa kwake kunahusu nini na kuundiwa kesi hii?
  2 Mbona hakuna uthibitisho huo kuwa waliotowa bei ni ujenzi? Barua ninazoziona hapo zote zinatoka Foreign. Hansard uliyowasilisha mbona inazungumzia kiasi hicho kilichokubaliwa na sio hicho unachosema kilitakiwa inunuliwe?
  Hili la kuwakarimu maaskofu ni kanya boya tu la kututaka hapa mambo haya tuyatie katika udini. Serikali ya Tanzania inaongozwa na Wakristo na hata Rais wakati huo. Hili kwa kweli ni kutafuta sapoti ya udini basi.
  3.Hilo la kumiliki ardhi huoni kuwa ni hoja dhaifu mbele ya watu?
  4. Mbona hujawasilisha hili la uokowaji wa fedha zetu kwa vielelezo?
  Mwisho najiuliza tu. hii official na real zilijadiliwa serikalini kabla ya manunuzi?
   
Loading...