McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,057
- 3,295
Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu?
Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu?
==========================================
Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba kuna watu ambao wako katika na hawataki kufuata utaratibu
Anasema kwamba vyama vya siasa vinatakiwa vifuate utaratibu wanapofanya mambo yao na sio kutaka mabadiliko au mapendekezo nje ya mfumo.
"Nawakumbusha watu wote wa vyama vya siasa wanaotaka kuingiza mambo yao na kuyatoa wafuate utaratibu. Tusianze kutoleana maneno kutukanana na kukashifiana"