Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza na kituo cha Clouds Redio, leo Agosti 21, 2025 Rais wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania TAHLISO Geofrey Kiliba amesema anayofanya Askofu Josephat Gwajima ikiwa ni pamoja na kuzua...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hakuna kifungu kinachopiga marufuku moja kwa moja kutumia neno au kauli ya "kukinukisha." Hii ni kauli ya kisiasa au ya mtaani ambayo haijaainishwa katika sheria...
0 Reactions
4 Replies
386 Views
CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹 Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM...
0 Reactions
16 Replies
478 Views
Mtandao Wazua Hofu Wakati upepo wa siasa za CCM ukielekea uteuzi wa wagombea 2025, jina la Hussein Bashe na harakati zake za kupanga safu yake ya Wabunge linatajwa kila kona. Inadaiwa amepanga...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Huwezi kupambana na kuleta mabadiliko makubwa ya kikatiba kwa Nchi ambayo imeongozwa na chama kimoja kwa zaidi ya miongo mitano kwa harakati za barabarani (maandamano & mikutano ya hadhara) na...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii kesi nilihisi ni kama mzaha lakini kwa Hii idadi ya mashahidi iliyotajwa ni wazi kesi hii sio ndogo kama baadhi ya watu wanavyohisi. N.B Wakili wa Serikali amewasilisha idadi hii ya mashahidi...
2 Reactions
127 Replies
9K Views
Hakimu Kiswaga alikuwa na mamlaka ya ku discharge the acused kama haoni ushahidi wa kutosha kumpeleke Lisu High court?
0 Reactions
2 Replies
207 Views
Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki KKAM lililokuwa Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam ambalo pia kwa jumapili mbili waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamekuwa wakisali hapo limevunjwa na...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025. Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu...
0 Reactions
1 Replies
483 Views
Mhe. Luhaga Mpina anapendwa sana na wananchi wa Jimbo la Kisesa kule Wilaya ya Meatu. Alipotia nia ya kuomba uteuzi wa kuwa tena mgombea ubunge wa Jimbo la Kisesa CCM wakamkata jina. Amejiunga...
0 Reactions
6 Replies
776 Views
Wakuu Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametoa kauli nzito akihimiza mabadiliko ya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwepo kwa mchakato wa wazi wa kupata wagombea...
28 Reactions
127 Replies
8K Views
Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana. 1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA 2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI 3. MKUBALI KUWA...
5 Reactions
59 Replies
2K Views
Kwa chombo cha Habari au Mwandishi yeyote wa habari atayakefanikiwa kutengeneza documentary ya harakati ambazo Chadema imekuwa ikizifanya tangu mwaka 2005 katika kulikomboa Taifa hili kutoka...
0 Reactions
2 Replies
288 Views
Mtazamo wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Udikteta vs Demokrasia. "Hakuna Udikteta Nusu" Haliyasema hayo July 23, 2023 Rais mstaafu J Kikwete anaeleza kuwa hakuna udikteta nusu au udikteta...
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Ltd. Mfanyabiashara Rostam Aziz, amemshukuru Rais John Magufuli kwa kuweka usawa wa kibiashara katika miaka minne ya uongozi...
8 Reactions
140 Replies
15K Views
Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM. 1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya...
13 Reactions
80 Replies
8K Views
Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom