Chanzo cha umasikini TZ

Chanzo cha umasikini TZ

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Mi naona chanzo cha umaskini wa waTanzania ni CHADEMA

kwakuwa serikali inatumia pesa nyingi sana kushugulikia matatizo ya chadema kuliko kujikita na kuendeleza nchi

barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami,MNACHOMA MATAIRI,serikali inatengeneza upya

watoto mnawapga risasi,serikali inagharamia kuwasafirisha kwenda nje

kuhusu akina kibanda na ulimboka sigusii,yote inakua mizigo ya serikali

ccm ni kama mama,mtoto anamzaa kwa tabu,lakini mtoto huyo huyo anakuja kumtusi,

mola awakinge na radhi ya mzazi wenu,
 
Kazi ya boflo ni kunywea chai, hatuwezi kujibishana na wewe.
 
Back
Top Bottom