chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 213
habari wana jamvi na wana ccm wanajamvi!
Huu ninaotoa hapa ni ushauri tu unaweza ukachukuliwa au ukatiwa kapuni ila ndio ukweli wenyewe.itakumbukwa kuwa hapo miaka ya nyuma kidogo tulikuwa na viongozi wa ccm imara sana kiasi cha kwamba hakuna mtanzania yeyote alikuwa na shaka juu ya kiongozi wa ccm aidha kwa majina yao au kwa wadhifa wao.ila miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wasiwasi juu ya viongozi hao sijajua no toka sera ya ubinafsishaji ianzishwe au la maana viongozi wa ccm sasa hivi hawaaminiki kama mwanzo.
Ushauri nashauri kama mtanzania makini na mzalendo kwamba ili ccm iwe imara zaidi ya ilivyo sasa ni vyema viongozi wanaochaguliwa katika kamati mbalimbali(cc) wasiwe wabunge wawe watu baki kutoka ngazimbalimbali mawilayani hii ni kuondoa influence ambazo zinaweza kuharibu image ya chama kama inavyotokea sasa hivi kwa huyu mheshimiwa anayetwa mwigulu nchema.kwa hapo tutaanza kuijenga ccm yetu imara na nchi yetu ikarudi kwenye amani na upendo uliopo mwanzo.
Mwigulu ni janga la ccm na la amani ya taifa viongozi imara wa CCM najua mpo chukueni hatua kabla 2015.