gazeti tz daima litaleta machafuko

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
185
serikali hili gazeti lisipoangaliwa mapema likaachwa kwa habari zake za uchochezi na kuchafua serikalu kwa uwongo ,ni hatari.
 
Umezoea udaku wapi na wapi tanzania daima na wewe? Kanunue IJUMAA na KIU ndo saizi yako!
 
serikali hili gazeti lisipoangaliwa mapema likaachwa kwa habari zake za uchochezi na kuchafua serikalu kwa uwongo ,ni hatari.

Kichwa chako ndo kipimo cha huo uchochezi na uongo unaoudai??
 
Serikali na Polisi wake huoni machafuko waliyotuletea mpaka uyaone ya tanzania daima? We unafkria kwa kutumia mgongo eti? PAMBAF...
 
serikali hili gazeti lisipoangaliwa mapema likaachwa kwa habari zake za uchochezi na kuchafua serikalu kwa uwongo ,ni hatari.

mmeshazoea kupakwa mafuta na sifa za kijinga na kupepesa macho yote ikiwa na lengo la kuficha umma ukweli.imekula kwenu
 
umefanana na ulicho kiandika sio kosa lako ni elimu duni ulio ipata, yote hayo ni kutokana na upuuzi wa serekali yako.
 
serikali hili gazeti lisipoangaliwa mapema likaachwa kwa habari zake za uchochezi na kuchafua serikalu kwa uwongo ,ni hatari.

Nini maana ya uchochezi?Je kinachoandikwa na Gazeti la Tanzania Daima kinaoana na maana hiyo ya uchochezi na inakiuka kipengele kipi cha sheria katika katiba kulingana na maelezo ya sheria za habari?jibu maswali haya kwanza Kibe ili tuweze kujenga muelekeo mzuri wa mjadala kuhusiana na hoja yako.
 
inashangaza sana kuona watu wengine wana upinga ukweli wazi wazi CCM hivi mnataka watu wamwambie mfalme umependeza kumbe yupo uchi,kubalini ukweli

copy to Nape,Nchemba,Kinana na mzee tupatupa
 
Back
Top Bottom