PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Ndugu,wana jf wenzangu nina mambo ya kuwa shirikisha tuyatafakari na kuwaeleza jamii inayo tuzunguka juu ya [upuuzi wa ccm na vibaraka wake,] napenda nilizungumzie tukio la soweto arusha,ambalo ccm na vibaraka wake, wanalitumia kama karata yao ya turufu kutugawa baadhi yetu wenye uelewa mdogo, nitaelezea kwa kina mambo haya,kwanza tuanze tathimini ya jiji la arusha na hali ya kisiasa kusema kweli chadema inanguvu sana arusha mjini uo ndio ukweli inakubalika kote arusha ndio maana hata kampeni zao za udiwani zilikua na umati mwingi wa watu kuliko chama chochote,atakaye kubisha atabisha ukweli ndio uo, na hata uchaguzi wa udiwani chadema itachukua kata zote tena kwa kishindo kikubwa sana,na hii ikowazi kabisa kwa mazingira ya wana arusha kukipenda chama chao, mtakumbuka mwaka jana kulikua na uchaguzi mdogo kule daraja2 na kata ilikua ya ccm chadema ikashinda tena kwa kishindo,naomba nilielezee tukio la soweto na kilicho nyuma ya panzia,siku ya kufunga kampeni ccm ilikua kwa cheusi cuf ilikua ikenywa studio chadema ilikua soweto,maudhurio ccm watu walikua hawazidi hata 150 cuf nao vile vile maudhurio yalikua hafifu,chadema kwa kweli jiji la arusha lili amia soweto kulikua na mafuriko ya watu wa kutisha kwa anaye ufahamu uwanja wa soweto kuna viwanja 2 vyote vilikua vimejaa watu hakuna hata sehemu ya kupumua, sasa utasema chadema arusha haikubaliki? Wa swahili wanasema dalili ya mvua ni mawingu, kama ccm inakubalika situnge ona mahudhurio ya watu kwenye kampeni zao? Sasa nalisema hili watu walijue,ccm wanausika 100 na tukio la soweto na lengo lao ni kukilinda kiti cha meya wa arusha uo ndio ukweli wa mambo, ccm ina madiwani 11 chadema ina madiwani 7 chadema ikishinda kata zote itakua na madiwani 11 wataongezewa viti maalum 1 watakua 12 ongezea na wabunge wa 3 watakua 15 sasa hapo ccm itakua na meya tena? Sasa utajua ni kwa nini ccm ilifanya tukio ili, na kuwa tumia wakina mtikila, na kuongea bungeni kwa lengo la kuichafua chadema, ili idhoofike arusha wapate hata kata1 kumlinda meya wao, wana jf na wahakikishi harusha msiwe na hofu j2 mtafurai ccm watapata aibu ya kitisha, na waasa watu wasio wakazi wa arusha wanyamaze wa waache watu wa arusha waongee, karibuni mchangie,