Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,460
- 13,823
:director:Naona dalili njema sana!
Nafurahi sana kuiona nchi yangu ikipitia kipindi hiki!
Hivi sasa ni rahisi sana kumjua mtetea nchi na mla nchi ni nani!
Ni rahisi sana kuwabaini wanaojifanya wako juu ya sheria!
Ni rahisi kuwajua "wakoloni weusi" ambao ni hatari sana kuliko wakoloni wazungu!
Ni rahisi sana kuwajua viongozi "vyeo"; wao kuitwa waheshimiwa ni muhimu kuliko maisha ya wenye nchi yao!
Lakini tujue kuwa atujafika bado; hizi ni dalili tu!
Ewe mwananchi amka hii nchi inakuhusu sana!
tafuta ukweli; kamwe usiache watu wengine wakusaidie kufikiri!:director: