Wenje na Kiwia siku zenu zinahesabika mwanza,kaeni mkao wa kujisepesha

Status
Not open for further replies.

Pilitoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
1,190
497
WanaMwanza tulidhani tumepata wakombozi baada ya bwana masha kutuchefua kumbe ni full majanga! Masha alisababisha hadi diallo akaangushwa na bwana kiwia.Imedhihirika kuwa hawa majogori wenje na kiwia hawana lolote huwezi watofautisha na makupe wanyonyaji kazi yao ni wizi,kuanzisha maandamano na kudandia mambo yasiyo na tija kwa wanaMwanza.Kupata ubunge tu wakaanza kuuza viwanja kiholela na kirushwarushwa mwanza.Kiwia rudi kilimanjaro ukagombee ubunge huko na wewe wenje amsha zako rorya,2015 hakuna chenu mwanza,anzeni mchakato mapema maana mtaumbuka sana.Mmekuja kuchuma mwanza na mlichokipata kinawatosha sasa ,muwashukuru wanaMwanza kwa kuwapa ajira ya muda
 
Acha ukabila. Taanzania ni ya wote.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
WanaMwanza tulidhani tumepata wakombozi baada ya bwana masha kutuchefua kumbe ni full majanga! Masha alisababisha hadi diallo akaangushwa na bwana kiwia.Imedhihirika kuwa hawa majogori wenje na kiwia hawana lolote huwezi watofautisha na makupe wanyonyaji kazi yao ni wizi,kuanzisha maandamano na kudandia mambo yasiyo na tija kwa wanaMwanza.Kupata ubunge tu wakaanza kuuza viwanja kiholela na kirushwarushwa mwanza.Kiwia rudi kilimanjaro ukagombee ubunge huko na wewe wenje amsha zako rorya,2015 hakuna chenu mwanza,anzeni mchakato mapema maana mtaumbuka sana.Mmekuja kuchuma mwanza na mlichokipata kinawatosha sasa ,muwashukuru wanaMwanza kwa kuwapa ajira ya muda

umetumwa uuwahesabie siku ..ehee.!zimebaki ngapi...?Magamba bwana roho mbaya kweli udenda unakutoka..!subri uchaguzi ujinyonge...!pole baba....!
 
WanaMwanza tulidhani tumepata wakombozi baada ya bwana masha kutuchefua kumbe ni full majanga! Masha alisababisha hadi diallo akaangushwa na bwana kiwia.Imedhihirika kuwa hawa majogori wenje na kiwia hawana lolote huwezi watofautisha na makupe wanyonyaji kazi yao ni wizi,kuanzisha maandamano na kudandia mambo yasiyo na tija kwa wanaMwanza.Kupata ubunge tu wakaanza kuuza viwanja kiholela na kirushwarushwa mwanza.Kiwia rudi kilimanjaro ukagombee ubunge huko na wewe wenje amsha zako rorya,2015 hakuna chenu mwanza,anzeni mchakato mapema maana mtaumbuka sana.Mmekuja kuchuma mwanza na mlichokipata kinawatosha sasa ,muwashukuru wanaMwanza kwa kuwapa ajira ya muda

pole sana na akili za kuazima kamwe haziwez kustiri hata kichwa chako,nikusaidie kabla ya kuulizia maendereo ya wabunge wa cdm kaangarie majimbo ya wana ccm na mawaziri wao wamefanya nini tena kwa miaka kumi na usiangarie mitano.

Nenda jimbo la bunda kulize mbunge wa pale ni nani?na wa chama kipi?kwa mda gani?ana wadhifa upi kitaifa?nenda magu,serenget,rolya,mtera,tabora mjini,skonge,urambo,singida kwa mwiguru,bukoba,ngara na mengine mengi na useme hao wabunge wanakoswa nini?kwani hawaandamani,hawapingi hoja yeyote ya serikali yenu ya kihuni.
Maendereo ya nchi hii hayapo kwa sababu ya viongoz madharimu,majambaz,wanafki,wahuni na mafsadi wakubwa ndani ya taifa hili,mmekuwa mkitumika kama kondom ama makarai ya zege,kumbuka kuna sku ya mwisho utaulizwa ulitumia vipi akili yako kufkiri?mwisho nikusaidie hayo mawazo ya kitoto we na familya yenu kama wanakuunga kwa upumbavu huu.
 
Ukabila huu unaanzia kagroup ka facebook kanaitwa Mwanza Indigenous kameanzishwa na Dickson (Son of the Penis). Mbunge hawezi kuuza kiwanda cha serikali
 
hakuna ukabila hapo,hawa jamaa hawana lolote waondoke zao tu,hatuwataki
hamuwataki wewe na nani??? Au nafsi zooote za wana mwanza umetubebea wewe???embu acha unaa hizo ni tabia za wale wa pale >>>>... Kiwia anapendwa mwanza kuliko unavo fikiri yaan ccm naamini hata ikisimamishwa na mkono sweta kwa jinsi ccm isivyo pendwa mwanza mkono sweta utatoka kidedea.
 
WanaMwanza tulidhani tumepata wakombozi baada ya bwana masha kutuchefua kumbe ni full majanga! Masha alisababisha hadi diallo akaangushwa na bwana kiwia.Imedhihirika kuwa hawa majogori wenje na kiwia hawana lolote huwezi watofautisha na makupe wanyonyaji kazi yao ni wizi,kuanzisha maandamano na kudandia mambo yasiyo na tija kwa wanaMwanza.Kupata ubunge tu wakaanza kuuza viwanja kiholela na kirushwarushwa mwanza.Kiwia rudi kilimanjaro ukagombee ubunge huko na wewe wenje amsha zako rorya,2015 hakuna chenu mwanza,anzeni mchakato mapema maana mtaumbuka sana.Mmekuja kuchuma mwanza na mlichokipata kinawatosha sasa ,muwashukuru wanaMwanza kwa kuwapa ajira ya muda

Kwa upuuzi wako kama huu unaenda kuchukua posho pale ccm mkoa au pale natal kwenye ofice za nyamagana ccm.
 
WanaMwanza tulidhani tumepata wakombozi baada ya bwana masha kutuchefua kumbe ni full majanga! Masha alisababisha hadi diallo akaangushwa na bwana kiwia.Imedhihirika kuwa hawa majogori wenje na kiwia hawana lolote huwezi watofautisha na makupe wanyonyaji kazi yao ni wizi,kuanzisha maandamano na kudandia mambo yasiyo na tija kwa wanaMwanza.Kupata ubunge tu wakaanza kuuza viwanja kiholela na kirushwarushwa mwanza.Kiwia rudi kilimanjaro ukagombee ubunge huko na wewe wenje amsha zako rorya,2015 hakuna chenu mwanza,anzeni mchakato mapema maana mtaumbuka sana.Mmekuja kuchuma mwanza na mlichokipata kinawatosha sasa ,muwashukuru wanaMwanza kwa kuwapa ajira ya muda

hili lipo wazi na imethibitika lei hii bila chenga ,kweli nimeamin mbunge 1 wa CHADEMA sawa na wabunge 200 wa CCM ndani yake akiwepo MWIGULU,WASSIRA,LUKUVI,NYANGWI NE,NKAMIA,PINDA,JK(baba liz) nawengineo hadi wafike 100 wa sampuli hiyo na wenyewe wanalijua hilo ila kwa vile huwa wanajifanya hawajui watakuja kupinga hapa kama kawaida yao kukwepa kivuli chao.
 
hakuna ukabila hapo,hawa jamaa hawana lolote waondoke zao tu,hatuwataki

Poleni sana bado mtaendelea kuwaona sana hapa MWANZA. Kamwambie Diallo aendelee kusubiri hela za matangazo star tv na redio zake ubunge asahau. Masha yeye aendelee kusubiri hela za kuzoa taka jijini hapa.
 
WanaMwanza tulidhani tumepata wakombozi baada ya bwana masha kutuchefua kumbe ni full majanga! Masha alisababisha hadi diallo akaangushwa na bwana kiwia.Imedhihirika kuwa hawa majogori wenje na kiwia hawana lolote huwezi watofautisha na makupe wanyonyaji kazi yao ni wizi,kuanzisha maandamano na kudandia mambo yasiyo na tija kwa wanaMwanza.Kupata ubunge tu wakaanza kuuza viwanja kiholela na kirushwarushwa mwanza.Kiwia rudi kilimanjaro ukagombee ubunge huko na wewe wenje amsha zako rorya,2015 hakuna chenu mwanza,anzeni mchakato mapema maana mtaumbuka sana.Mmekuja kuchuma mwanza na mlichokipata kinawatosha sasa ,muwashukuru wanaMwanza kwa kuwapa ajira ya muda

Mtu Wa ukanda, Hongera
 
Jamani mwenye ratiba ya FIFA Confederation Cup anijuze pamoja na matokeo ya Nigeria vs Spain.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom