Chadema wakamata Waziri Nagu akigawa Rushwa

Greenwhich

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,337
968
Mbunge wa Karatu Israel Natse akiwa na mamia ya wananchi wa kata ya Bashanet wamemkata Waziri Mary Nagu akigawa rushwa usiku wa manane.

Waziri huyo alikuwa akigawa rushwa huku akiwa amejifungia kwenye nyumba moja.Lengo lake ni ili CCM iweze kushinda katika kata hiyo.

Mamia ya watu waliizingira nyumba hiyo na kutaka kuichoma moto mpaka alipookolewa na polisi alfajiri leo.

Kukamatwa huko kulifanikishwa na askari polisi wadogo waliowatonya Chadema na kufanikiwa kuwakamata.

Mgombea wa Chadema Lawrance Tara ana nafasi kubwa ya kushinda.
 
Asante mkuu kwa taarifa. Mods tafadhali unganisheni uzi huu na ule wa Mohamed Mtoi.
Magamba wanatapatapa sana.
Peoples' Power mpaka kieleweke!!!
 
Hizi story sasa zinachosha, hii inatakiwa kuwa Nagu achomewa ndani ya nyumba baada ya kuwa akigawa rushwa, kama rushwa ni adui wa haki sasa mto rushwa ni nani? ukiwapeleka TAKUKURU ndiyo kama unapoteza muda wako, hivyo jambo la maana ni kuwatandika huku huku kitaa, kwani rushwa imelaani mpaka kwenye vitabu vya dini
 
Aibu ya Milele imuangazie huyu mama ! Kopi ya ujumbe huu imfikie FREDRICK SUMAYE !
 
walimkamata usiku wa manane wakataka kuchomoto akamakuokolewa na polis asbh,chadema wamesomea kukamata rushwa wanajua taratibu za kutumia vithibitisho vya rushwa. mmefundisho majungu ya slaa na hoja za ovyo.mmeajiliwa kukamata rushwa.nyambavu
 
walimkamata usiku wa manane wakataka kuchomoto akamakuokolewa na polis asbh,chadema wamesomea kukamata rushwa wanajua taratibu za kutumia vithibitisho vya rushwa. mmefundisho majungu ya slaa na hoja za ovyo.mmeajiliwa kukamata rushwa.nyambavu

Rushwa tamu kama asali kwa ccm.
 
Alafu eti makinda juzi anasema,kwa kubana pua,''waheshima wabunge tuungane kutokomeza rushwa''
 
Nagu yule aliyelia bungen kwa kufiwa na mama yake? Mbona ccm inaua raia wanacheka,najua anafahamu kufiwa ni uchungu basi watende haki,
 
Uzushi mtupu!

Chadema wakute tukio kama hilo wasipige hata picha?

nagu huyu huyu kiboko ya Sumaye?
 
Back
Top Bottom