Hebu wazeni hili

Rumanyika1979

New Member
Jun 26, 2013
1
0
Mpumbavu,mjinga,mpuuzi ni baadhi ya maneno ambayo Mwalimu JK Nyerere alikuwa akiyatumia kwenye hotuba zake nyingi nashangaa polisi kumkamata Sugu kisa kaandika facebook ambapo walioona hawafiki watu 5,000.

Mbona yule mbunge wa CCM aliyetukana ---- YOU mlimkalia kimya wakati watanzania wote walimuona na kumsikia kupitia vyombo vya habari? Siasa za maji taka CCM mtaji wenu polisi au?
 
Tusimung'unye wakati sauti ilisikika Mbunge Serukamba alitukana akasema, "F u c k Y o u" Na hapo hatuwezi jua alikuyekuwa akitukanwa ni kiti au nani na hapo ni Muhimili wa Serikali!!!
 
Back
Top Bottom