Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

imesemwa jana kuwa ukombozi wa nchi hii si wasomi wala viongozi bali ni vijana wanaopata shida. Soggy umempa shikamoo ya nini Makongoro, anang'oka bila hata kutumia nguvu. Namshangaa Lady Jaydee anashangaa wakati majimbo bado yapo mengi, utastuka watu wamekamata yote. . . . . . . . Roma ukigombea kupitia chadema nakusaidia kupiga kampeni
 
Yani kuingia tu na kujitwalia jimbo!Huko Segerea wapo wengi kweli Matola
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom