CHADEMA kimekuwa kikilalamika mara kwa mara kabla na baada ya matukio. Cha kusikitisha kimekuwa chepesi cha kuthibitisha kuwa wana ushahidi, lakini cha ajabu mambo yamekuwa yakiishia kwenye vyombo vya habari.
Je ni kweli viongozi wa CHADEMA hawana mahala pa kushitaki kwa vielelezo wanavyokuwa wakijinadi kuwa wanaushahidi wa kutosha?.
Mwigulu alipokuwa akijinadi kuwa ana video ya njama za mauwaji, viongozi hawa hawa wa CHADEMA walilituhumu jeshi la Police kwa kutomhoji mwisho wa siku madhara yake yameonekana na kukigharimu Chama ki-uchumi na ki-siasa.
Katika shambulio la bomu lililotokea Soweto, Mbowe, Lema na Mnyika wamekuwa wakinukuliwa wakisema wana video ya mtu aliyehusika kurusha bomu katika mkutano wa Chadema-SOWETO.
Nahisi wanakosa sehemu ya kuipeleka, kwani hata tume huru wanayoomba iundwe na Rais wasiyemtambua hadi sasa, kama ndivyo mbona tume zimeundwa nyingi na CHADEMA kukazia wimbo wa kutoitambua?. Ili kurudisha imani inayoelekea kupotea kwa wananchi ni bora wakatuwekea kwenye mitandao tukajilizisha ili tuhukumu wa kuwa na vielelezo kama wanavyotulilia, kwani zile za awali wamezifanyia editing sana hadi tunashindwa kuamini wanachosema.
Hivi inaingia akilini kuwa mtu amerusha bomu kisha anataka kukamatwa kama kuku, je walijuaje kama amemaliza mabomu yake, je inakuwaje badala ya kumshambulia mhalifu wanachama wanawarushia Police kwa mawe?.
Je ni kweli kwamba Dr. Slaa alitumiwa ule mkanda wa tukio ili aufanyie editing alipokuwa ameenda?. Nashauri tu kwani siku zinavyozidi kupita na kusubilia tukio jingine maswali yanakuwa mengi.
Mawakili waliopo Chamani tuwatumie kufungua kesi zinazokuwa na ushahidi wa kutosha , kuliko kusubiria wanachama na wafuasi kufunguliwa kesi ndipo walipwe pesa nyingi kwa kusisimamia kesi.