Na Maggid Mjengwa,
WAAFRIKA waijenge Afrika yao, kwa ajili ya Afrika! Anasema Barack Obama. Ni dhana njema, lakini, unafanyaje pale Waafrika wenyewe wanagombania fito katika kuijenga Afrika...
Wana JF,
Kwa namna ya Pekee naomba kutoa pongezi kwa Jamii Forums pamoja na timu yote iliyobuni Mtandao huu...
Mtandao huu ulikuwa unapigwa vita na Viongozi wengi sana wa CCM hadi JF inakuwa...
MPANGO WA KULETA MATOKEO MAKUBWA SASA KWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (Mbunge), anawaalika...
Tuache longo longo la akina MWONGO na wenzake
kama wako serious wakachukue sera ya madini ya PAPUA NEW GUINEA tubadili majina ya nchi ili iwe yetu. Perhaps itatusevia pesa.
Wito huu tulitoa...
SERIKALI imeweka wazi miradi ya umeme ya kipaumbele, itakayotoa matokeo ya haraka ifikapo 2015/2016, na kunufaisha wananchi katika mikoa 13 nchini.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter...
Kuna kipindi kulikuwa na thread humu iliyomtuhumu Dr Shayo kuwa ni Plagiarist aliyebobea na kuna watu waliquestion mpaka authenticity ya kuitwa "Dr"
Well...Juzi kamwaga article kule Michuzi Blog...
Kuna article kwenye ipp media inasema DOWANS inataka kuuzwa kwa kampuni nyingine ya marekani SYMBION.
Jamani tunachezeshwa mchezo huohuo kila siku mpaka lini.
Nimejaribu kufuatilia website ya...
Mahusiano na makubaliano yamikataba hii ya kimataifa yanategemea uwelewa na uwezo wapade mbili,Tanzania
hatujawaanda watu kwa uwezo unaostahili wenye uwezo wakutosha wa kushindana na wenzetu...
Ndugu zanguni,
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana matukio na vituko vinavyofanywa na makamanda wa chadema lakini imefikia wakati na mimi nitoe maoni yangu juu ya uongozi wa chadema chama...
Chama cha demokrasia na maendeleo ni chama makini kwa sasa na niwazi kuwa kitapata wabunge wengi uchaguzi ujayo na indiketa ni uchaguzi wa madiwani ambapo wamepata viti vichache vya ccm na ccm...
Ndugu wana jamvi,
Juzi nilikuwa wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma. Moja wapo wa mambo niliyofanya ilikuwa ni kuongea na Katibu wa TSD (teacher's service Department). Mazungumzo yetu yalilenga kujua...
Question from Peter Ambilikile:
My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper. My question is from both of you, starting with President Obama. President Obama, are you satisfied with...
Wanajamvi:
Chama hiki cha ccm kimeongoza tanzania kwa miaka hamsini sasa,na kadri siku miaka inavyosonga mbele ndiyo chama hiki kinavyo poteza mvuto situ kwa wazee na vijana kwa sasa hata watoto...
Mahusiano na makubaliano(mikataba) hii ya kimataifa yanategemea uwelewa na uwezo wapade mbili,Tanzania
hatujawaanda watu kwa uwezo unaostahili wenye uwezo wakutosha wa kushindana na wenzetu...
Tanzania: BG Group Upgrades Ngisi Gas Discovery
4 JULY 2013
AFRICA-FOCUSED Ophir Energy announced Wednesday that the Ngisi-1 appraisal well, operated by BG Group, has successfully found further...
ndio hali halisi kuwa kesi ile imeishia hewani huku walioiba fedha za watu kijana mbele ya serikali na vyombo vyake wakipeta mitaani.huo ndio ukweli.inasikitisha kuwa imeibuka taasisi nyingine...
Mh. Rais,taarifa zilizopo ni kuwa, zile Nyayo za Kale ulizofungua kufukuliwa kwake kwa mbwembwe kule Laetoli, Arusha na kutenga fungu la kutosha kwa ajili ya ujenzi wa makumbusho ya taifa, ziko...
Nadhani kuna haja ya kuwatazama watanzania wenzetu hawa wanao pitapita huku mijini na huko vijijini kujinadi au kutangaza nia ya kugombea uraisi wa Tanzania ifikapo mwaka 2015. Ni kina nani...
Binafsi nimefurahishwa na namna marais na viongoz wengine wa marekani wanavyojitoa kwa ajil ya taifa lao, hata baada ya kustaafu, wanasema retired but not tired..! Tuchukulie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.