mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Kesho wana-mkataba kama kawaida watakuwa kwenye viwanja vya masota pemba, hturudi nyuma mpaka mamlaka kamili ya zanzbar yanapatina.
haa haaa
amesubiri mpaka Obama aondoke ndiyo aanze kubweka
ujumbe umefika nynyi ndo tanganyika msiojuwa identity yenu.Mkitaka ukombozi wa kweli ing'oeni ccm vinginevyo mtaburuzwa na kukosa elimu kama kawaida(mfano wewe hata uandishi wako tu_communication skillsnunaonesha ulikimbia shule)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Zanzibar kwanza chokochoko baadaeRaisi wa wapemba.
Kwenye Msosi pale ikulu ulimuona alivyomsogelea Obama ? yaani alimpiku hata Salim A. Salimissue ya Uliberali vp??
Alikula na dina!
Hana lolote sana sana atabakia na siasa za kuwadanganya wastu wasizidi 1,000,000.