ANC-KWA ZULU NATAL
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 325
- 38
Ni lowasa 2015
hali iliyotokea jijini mwanza kwa wamachinga kuimba rais rais kila lowasa alpokuwa akiwahutubia inaonyesha pcha kuwa kwa sasa chaguo sahihi la watanzania ni lowasa ndan na nje ya ccm ukeli unauma watakaopnga watapnga kwan kuna waliozoea kupata kiarus wakskia lowasa kama nape,membe,sta,mwakyembe kwa jinsi wanavyomhofia lakin machnga ambao ndio wapga kura wameniaminisha kuwa lowasa ni chaguo la watanzania ktk rsala yao wanasema ezekiel wenje toka wamchague amehamia dsm na wanaskia wenje baada ya kuwasalti anaenda kugombea ubunge ujaluon...lowasa anatsha kama mvua chagua lowasa kama rais wako 2015