Wazanzibari wanapendekeza ili muungano wa serikali mbili uendelee basi mambo ya muungano yaunganishwe na yale ya SMZ. Tanganyika ibaki na yake. Wanadai bara imefaidi kwa miaka 50 kwa kuwa vile mambo kama ya nje, polisi, jeshi yako upande wake.