Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

hopaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
1,726
Reaction score
1,218
Katika kuhakikisha kila mtoto mjini Mbeya anapata elimu sawa na wengine wenye uwezo, mbunge kupitia mfuko maalum wa elimu Mbeya amesaidia zaidi ya wanafunzi 200.Na sasa mfuko huo unafanya kazi kuhakikisha kila shule ya kata inakuwa na computer lab.

Haya ndo tuliyotaka katika kukamilisha ahadi zako!
 
Sugu hauziki .
Ni mali mbofu, yeye apige kelele za chama chake na kutukana viongozi.
Sugu is bad news.
 
Hili jembe nimesoma nalo Mbeya secondary. Big up Sugu kwa kutuwakilisha
 
Inakuuma sana SUGU kuwa mbunge wako ee... inwa aka mbebha dogo.. kuti ulumanye..
Malayale Sugu kazi yake kutekekeza agenda anazopangiwa na Slaa, hana agenda na maendeleo ya Mbeya.
Yeye akapigwe mabomu Arusha na kupata ajali huko sisi hatusikitiki.
 
kwa swala la kuweka computer lab kwa kila shule nampongeza sana. Ila swala la kusomesha wanafunzi 200 hapa bila kujua hao wanaosomeshwa ni kina nani mimi bado nitasita kutoa pongezi maana the way nawajua watanzania zinapotokea nafasi kama hizo watoto wa maskini wanaendelea kuangaika huku wale wenye uwezo wa kulipa lakini wanajuana na watu waliopo katika mfumo huo wanapachika watoto wao
 
wasi wasi wako ni upi hapo? mbona wabunge toka chama chako wanapotangaza kutoa michango kanisani na misikitini hatusemi tuna wasiwasi?. acha roho mbaya, nenda kapata taarifa ni namna gani watoto wamechaguliwa. watu wengine siyo lazima mbunge nao wajitokeze kusaidia jamii. mbunge siyo mfadhili nae anachangia kama raia wengine, alah!
 
kwa swala la kuweka computer lab kwa kila shule nampongeza sana. Ila swala la kusomesha wanafunzi 200 hapa bila kujua hao wanaosomeshwa ni kina nani mimi bado nitasita kutoa pongezi maana the way nawajua watanzania zinapotokea nafasi kama hizo watoto wa maskini wanaendelea kuangaika huku wale wenye uwezo wa kulipa lakini wanajuana na watu waliopo katika mfumo huo wanapachika watoto wao
"Computer lab" ndio kitu gani hebu tufafanuliwe.
Kajenga darasa au kaweka 2nd hand computer kila shule, tuwe makini na tunachoongea.
Pengine kati ya watu waliopoteza oppurtunity nzuri ya kuwaendeleza wana Mbeya ni huyu jamaa, Bw Sugu.

Mbowe mjanja , anuma na kupulizia, alisuka hadi Kikwete alifika kwao Hai na akomba na kujengewa barabara ya lami zaidi ya kilometa 10(sawa na barabara mbadala toka Mbeya mjini na Uyole).

Huyu Sugu anaiga tu siasa za confrontation za akina Slaa ambao hawana jimbo lolote la kutetea.
Wana mbeya wanataka maendeleo halisi ya miundombinu ya kuchochea maendeleo, kitu ambacho Sugu hana idea nacho.
 
Sugu hauziki .
Ni mali mbofu, yeye apige kelele za chama chake na kutukana viongozi.
Sugu is bad news.

Alumtukana nani?
tusi gani na lini?
Na kama alitukana kiongozi jwa nini msimpeleke mahakanani.
Ccm mtasubiri sana Mbeya!
wana Mbeya wanasema CHADEMA YATOSHA!
 
Sugu hauziki .
Ni mali mbofu, yeye apige kelele za chama chake na kutukana viongozi.
Sugu is bad news.

Ha ha ha...Habari imekukuna na wewe ukakunika..Hebu nenda kajiuze wewe hapo Mbeya uone kama utauzika..

Shwain..
 
sugu hana sifa hata ya bilinganya angalau hutumika kama mboga sugu utamtumia kwenye nini sasa.
 
Back
Top Bottom