L ligangaluma Member Joined Jun 11, 2013 Posts 76 Reaction score 6 Jul 7, 2013 #1 katika hali ya kushangaza tamasha lageuka uwanja wa siasa na sehemu ya kupigana vijembe. mheshimiwa rais mmmh me nasema hapana
katika hali ya kushangaza tamasha lageuka uwanja wa siasa na sehemu ya kupigana vijembe. mheshimiwa rais mmmh me nasema hapana
Kifaurongo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 4,291 Reaction score 2,438 Jul 7, 2013 #2 Umuhimu wa Amani ndicho alichatwambia Rais. Umuhimi wake hauna siasa wala dini Usiasa uko wapi hapa.
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Jul 7, 2013 #3 hata mimi li mwigulu ndo linatajwa my tv is off. naenda kutafuta kinana baridi mtaa wa pili