Lekakui
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,451
- 590
Wana JF,mimi ningeomba tu mwenye ufafanuzi wa hizi tungo tata anisaidie niweze kuelewa kwani kila jambo naona limegeuzwa kuwa siasa,
Wakati mzee wa Kaya alipokuwa anazindua barabara nyingi hapa nchini waziri wake MAGUFULI alikuwa busy kumsifia kwamba barabara zote zimejengwa kwa kutumia mapato ya ndani na zote ni juhudi za mzee wa kaya according to Magufuli,lakini juzi wakiwa kwenye press conference kati yake na Obama mzee wa kaya alipokuwa akijibu maswali alisema MCC ndo iliyofanya kazi ya kujenga barabara nyingi hapa nchini na yote hayo ni matokeao ya uhusiano mzuri kati ta nchi hizi mbili akaenda zaidi na akazitaja kama huko Mtwara ,Songea etc.
Sasa mimi hapa niko puzzled je tumuamini yupi?
Naomba kuwakilisha