Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Majeruhi wote wa bomu na risasi za Mwingulu Nchemba (Kutoka kiwanda moja cha serikali ya China) lililorushwa kwenye uwanja wa soweto jijini Arusha siku ya tarehe 15.06.2013 siku ya kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani wa kata nne za jiji ni hapa ambao ulipangwa kufanyika tarehe 16.06.2013, majeruhi hao ambao awali waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani waliahidi wange gharamia gharama zote za matibabu, sasa serikali imejitoa hali iliyopelekea wangonjwa kuambiwa kuondoka kwenye hospitali ya selian, St Elizabeth na AICC Hospital.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo baada ya kusikia taarifa hizo walikimbia kwenda selian ambapo wangonjwa wengi ndipo walipo lazwa na kuongea na uongozi wa selian hosp iwapokee wagonjwa wote ambao sasa wata kusanywa kutoka hospita tatu yaani AICC hosp, St Elizabeth hosp( kwa father Babu) na Mt Meru hosp...
Niliongea na wagonjwa hao ambao walikuwa wameshaanza kukusanya vilivyo vya kuondoka hospital hapo wamesema jambo hili limetokea baada ya wagojwa wengi kukataa kushinikizwa kutoa maelezo wanayoyataka serikali ya ccm kwa kuwatuma polisi wa kitanzania huku wakijifanya FBI, wagojwa hao waligoma kata kata kutoa maelezo kwa jeshi hilo la polisi wakisema tuletewe wanasheria wa chadema wakati wa kutoa maelezo...