kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Katika taarifa ya habari ITV saa 2, Nimesikia Dr. Shein kuwa amevipa vyombo vinavyohusika na udhibiti wa vyakula nguvu za kuwachukulia hatua wale wote watakao wauzia Waislam katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan vyakula vilivyo haribika, vilivyokwisha muda wake na ambavyo havina viwango vinavyokubalika yaani havijapitia TBS.
My Take!
Hapa nimeshindwa kumuelewa Mh. Rais wa Zenji kwani nini azungumze haya wakati huu, je hii si moja ya ubaguzi wa kidini? je haya yalitamkwa wakati wa Mfungo wa Kwaresma? na je kwa kauli hii inamaanisha siku zingine watu waendelee kulishwa vyakula vibovu isipokuwa wakati wa mfungo wa Ramadhan?