[video=youtube_share;-HI-PUDZ2fY]http://youtu.be/-HI-PUDZ2fY[/video]
mbona siioni...
Kuchanganyikiwa na maisha ni kitu kibaya sana chadema wanasumbuliwa na njaa ya madaraka na ugumu wa maisha.
Kigailla amewashika pabaya mkuu. Umeisikiliza hiyo video hadi mwisho? Mnawafundisha watoto ujasiliamali halafu mnawapa matoi ya slaha, ili wajifunze kuteka mabasi? Ni ujasiliamali gani unahusisha kushika silaha?Huyu jamaa ni mzushi,amejirithisha ukiBwetere