kabhakulu.com
Member
- Apr 17, 2013
- 70
- 8
Wananchi ndani ya Mkoa wa Kigoma wamejipagna vilivyo kukitupilia mbali chama cha CCM mwaka wa uchaguzi mkuu 2015 kwani kimeshindwa kutekeleza mipango yake juu ya Mkoa huu tokea enzi zaTANU.
Hata hivyo 2010 CCM ilifanikiwa kupata wabunge watatu tuu ikiwa ni pamoja na kutumia mabavu. Raia wema wanaihakikishia CCM kuwa mwaka 2015 haitapata mbunge hata mmoja. Wabunge wote watapatikana kutoka ktk vyama pinzani pekee ikiwa ni CHADEMA na NCCR-Mageuzi.
CCM chali cha mende Mkoani Kigoma. Sasa siasa za Arusha zahamia Mkoani Kigoma. Tulianza na Mungu Tutamalia na Mungu. Mungu ibariki Kigoma Mungu ibariki Mikoa yote ya Tanzania