Leo ilikua ni siku ya aina yake kwa mkoa wetu wa Singida hususani jimbo la Singida Magharibi baada ya wananchi wengi kufulika kushuhudia kuapishwa kwa diwani mpya wa kata ya Iseke,Emmanuel Jingu(CHADEMA).
Shangwe na nderemo hizo zilianzia kwenye ukumbi wa chuo cha maendeleo Singida na kuelekea kwenye viwanja vya madukani kijijini Iseke baada ya jeshi la polisi kuweka ngumu kwa CHADEMA kufanyia mikutano katika viwanja vilivyozoeleka vya stand ya zamani.
Ikumbukwe kua kuapishwa kwa diwani huyu mpya kunatokana na uchaguzi mdogo uliofanyika tarehe 16 juni 2013 baada ya diwani aliepita kujiengua kwa kushindwa kutekeleza irani makini ya chama cha democrasia na maendeleo(CHADEMA).
Hata hivyo wakazi wa kata hiyo waliendelea kuiamini CHADEMA na kumchagua Emmanuel Jingu.