Binafsi kama mpenda mabadiliko niwapongeze CHADEMA sana kwa jitihada wanazofanya kama chama cha siasa katika kuwaelimisha wananchi kupambana na dhulma mbali mbali zinazofanywa na chama tawala na...
Ni ushauri wa bure, kwa wale wote wenye mapenzi mema na CCM viongozi pamoja na wanachama wao kwa ujumla
Zingatieni yafuatayo badala ya kuendelea kukimbizana kujipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu...
WanaJF,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimenasa mpango mchafu wa naibu katibu mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba wa kuwahonga madiwani wa CHADEMA jimbo la Igunga ili wajiunge na CCM...
Chama Cha Mapinduzi kimetoa mwongozo wake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, kikipinga mambo mengi yaliyomo ndani ya rasimu hiyo iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba...
Tokana na habari za zilizorushwa Twitter na M23 ni kuwa wamemkamata askari wa Tanzania ambae yupo kwenye mission ya UN CONGO. Hata hivyo hiyo habari bado haina uhakika kama ni kweli ama uongo kwa...
Ijumaa, Julai 19, 2013 05:33 Na Shomari Binda, Rorya
DIWANI wa Kata ya Tai (CHADEMA), Godfrey Masirori amesifia jitihada zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Rorya...
Napenda kuleta hoja yangu ya msingi kwenu wana jamii muelewe kuwa kuna sehemu tumekosea. Tumeshindwa kuongoza halmashauli kadhaa kutokana kutokuwa na madiwani wa kutosha sasa CCM wanatumia huo...
Wadau wa maendeleo na jamii kwa ujumla mnakaribishwa katika uchambuzi wa Mlolongo wa kodi hizi inayoanza rasmi mwaka huu wa Fedha 2013 na itakuwa zoezi la kila mwaka.
Kila halmashauri itakuwa...
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa...
Chokochoko kati ya Tanzania na Rwanda zinazidi kuongezeka
Tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
Jana tulikuwa tunajibizana na Malawi, leo Rwanda; Kesho itakuwa...
Nikiwa kama mtanzania mpenda Haki na Amani ninahuzunishwa sana na taarifa za kukamatwa, kutekwa, kujeruhiwa na kuuwawa kwa askari wetu wa JWTZ waliopo sehemu mbalimbali duniani wakipigana vita...
Wapo watanzania wanaoamini kuwa itawachukua muda sana kumsahau mwanasiasa Nape Nauye kutokana na kile kinachoweza kutafsiriwa kuwa jinsi mwanasiasa huyo kijana alivyojigeuza kichekesho kila...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji mzee Ali Juma Makame wa Mkwajuni, baada ya kumjuilia hali ikiwa ni ziara ya kiongozi huyo ya kutembelea wagonjwa na...
Wanajeshi wa JWTZ wakibeba jeneza lenye mmoja wa askari wenzao saba waliouawa kwa shambulio la ghafla wakiwa katika Jeshi la Ulinzi wa Amani la Umoja wa Mataifa mjini Darfur, jumamosi iliyopita...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali toka kwa wanahabari wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya...
Si muda mrefu tangu nirud nyumban kwa mapumziko.
Wakat huo huo mbunge wangu Mh.Mwakyembe naye yuko mapumzikon huku jimbon kwake ambako amekuwa akija ktk vpnd vya mwishon mwa mwaka pekee.
Mpaka...
TWO CCM members are contesting the High Court decision on the petition against the victory of the Singida East MP, Mr Tundu Lissu. Mr Shaban Itambu Selema and Paschal Marcel Hallu are appealing...
CCM inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:
chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),
chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi...
A FOREIGNER and owner of Beachfront company, Mr Henry Domzalski, is alleged to evade taxes and deny the government revenues despite conducting business of letting buildings for the past eight...
WADAU:
Angalieni wizi huu wa umeme unaofanywa na kampuni mbili za simu ambazo hata hivyo hazikutajwa. Wanakusanya mabilioni kila siku lakini bado wanataka kuikamua Tanesco.
Mnaweza kukisi ni...