Leo tumechapisha katika gazeti hili habari ya kusikitisha kwamba Waraka wa CCM kwa wanachama wake kushinikiza watetee matakwa ya chama hicho wakati wakitoa maoni yao katika Mabaraza ya Katiba...
Wanajf, nakiri wazi kuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA ngazi ya kata. kwakuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA na kwa kuwa chama changu kimepengekeza serikali tatu namimi kama kiongozi ni halali kutetea...
Gazeti la Habari leo limetoka na habari inayosema WANAOPINGA KODI YA SIMU HAWANA JEMA, hiyo habari imechapishwa kwenye gazeti lao la leo na linaendelea kuuzwa mtaani likiwa na hicho kichwa cha...
Ndugu wana JF.
Mtakumbuka mara kadhaa kumekuwa na matukio ya chokochoko za kidini kwa Zanzibar na Bara! Mpaka Masheikh, mapadre na wachungaji wakauwawa na kujeruhiwa... Hata hivyo awali kidogo...
Kwa upande wangu nimeshangaa na kumpongeza mh. rais kwa uamuzi wake. Lakini kuna mambo mengi kayafumbia macho bila utatuzi, mfano issue ya wamasai kufukuzwa eneo lao, issue ya walimu n.k. Je...
Nimekuwa nikifatilia duru za kisiasa hapa nchini nakuona kuwa siasa za Tanzania zimetawaliwa na matusi, kukashifiana, kudhalilishana na hata kufikia hatua ya kudhuriana.
Hivi kwa nini watu...
Kwa data za uhakika na zilizosanifiwa tena zenye mashiko. Tunaomba sababu za kina zinazoweza kutufanya tuiamini ccm tena 2015,rejea mambo iliyodororesha nini mikakati ya kuliondoa Taifa hili na...
SERIKALI MBILI, YA MUUNGANO NA YA TANGANYIKA
Mijadala yote ya muundo wa Serikali mbili, inazungumzia Serikali ya Muungano na ile ya Zanzibar.
Suluhisho la kudumu la kero za muungano katika muundo...
Wanazi wa CHADEMA naomba mnijuze kidogo ni sababu gani chama chenu hakina viongozi wa kuchaguliwa ndani ya wilaya ya Temeke? Katika pitapita zangu nimegundua madiwani na wenyeviti wa mitaa na...
Tunapopiga kelele Kiongozi wa serikali katumia hela vibaya...matumizi yasiyo rasmi au ni rasmi lakini kwa data za uongo,na tuposema Kiongozi wa chama naye katumia fedha za chama vibaya katika...
Mambo 10 ambayo CCM hawawezi kuyazungumzia:
1.Fedha za EPA zipo wapi
2.Fedha za rada zipo wapi
3.Fedha za CIS zipo wapi
4.Miktaba ya madini ipo wapi
5.Rushwa kwenye madini na
maliasili...
Mimi sielewi na nimechanganyikiwa. ....Moja ya hadidu rejea walizopewa Tume ni Kuhusu Muundo wa Muungano. Watanzania wengi wametoa maoni ya serikali tatu. Sasa CCM ni nani hata wawapangie wajumbe...
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, viongozi wa chadema wanaongoza kwa kutokwa povu pale wanapopigia kelele jambo fulani au kuikemea serikali. Na wote tunajua kama kutokwa povu ni kipimo cha uongozi...
Kumekuwa na malalamiko mengi yahusuyo utovu wa maadili ya kitaaluma katika sekta ya afya kwa nyakati tofauti, malalamiko ambayo yamefuatiliwa na vyombo vya habari, na kugundulika kuwa, licha ya...
Katika kikao cha kujadili amani na usalama kilichosimamiwa na mkuu wa wilaya ya Kibaha bi. Halima Kihemba na kuhudhuriwaviongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa madhebu ya dini Mlandizi, wajumbe...
Habari wa JF.
Naomba nitaje matatizo ambayo yako CHADEMA.
1. Kupeana Ubunge kwa kujuana, e.g viti maalumu
Ndesamburo vs Lucy Owenya
Mbowe vs Grace Kihwelu
Lissu vs...
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanri, ametangaza kuanza kuwachukulia hatua vigogo wote wa halmashauri walioiba na kuhamishiwa katika...
Watanzania wenzangu nikisema Tumelaaniwa sidhani Kama nitakuwa nimekosea.
Nani asiyejua kashfa za Mbunge Chenge. Chenge alituingiza kwenye kashfa ya rada, rada ikanunuliwa kwa gharama ya juu...
Chadema kimepinga kauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuhusu hatima ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 kikisema mchakato wa sasa wa Mabaraza ya Katiba, usiwe kikwazo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.