Up-coming Teacher
New Member
- Jan 19, 2013
- 2
- 0
Je, unamfahamu Mh. Sijui? hizi ni sifa zake.
1. Hajui kwa nini nchi yake na wananchi wake ni masikini
2. Akiwa kama kiongozi wa juu wa chama chake pia hajui kama chama hicho kina kikosi cha vijana wakakamavu (G GUARD)
Ewe mwananchi unaweza kutarajia neema kwa kiongozi kama huyo? Tafakari chukua hatua!