Tuanzishe Chama Cha TANU

Tuanzishe Chama Cha TANU

Head teacher

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
1,796
Reaction score
413
Wakuu nina wazo la kuanzisha chama cha TANU ambacho kinatambulika katika katiba ya Tanganyika. Tunahitaji wanachama kila mkoa ili chama chetu kisajiliwe na Tendwa.

TANU kitatumika sambamba na katiba ya Tanganyika katika kupata rais wa Tanganyika. Kumbukeni KATIBA ya Tanganyika ni ya chama kimoja kwa hiyo patakuwa na mgombea mmoja wa TANU upande mmoja na kivuli upande wa pili. Tukimpata rais wa Tanganyika atasimamia mabadiliko ya Katiba ya Tanganyika yaendane na katiba ya Tanzania.

Bahati mbaya sina katiba ya Tanganyika wala Katiba ya TANU. Mwenye nazo ninaomba atuwekee hapa JF tuzipitie tuone kuna technicalities gani tuzishughuhurikie mapema.

TANGANYIKA KWANZA, MUUNGANO BAADAE.
 
Mkuu nijuavyo, TANU ni copyrighted name; sidhani kama utaruhusiwa kulitumia. Labda Team Lumumba wenye taasisi yao watufahamishe kama walishai de-register. Otherwise nakushauri tafuta jina lingine. Kuna dogo mmoja hapa atajibu fasta kama hamnazo vile. Ritz tafadhali fafanua.
 
Mkuu nijuavyo, TANU ni copyrighted name; sidhani kama utaruhusiwa kulitumia. Labda Team Lumumba wenye taasisi yao watufahamishe kama walishai de-register. Otherwise nakushauri tafuta jina lingine. Kuna dogo mmoja hapa atajibu fasta. Ritz tafadhali fafanua.
TANU kipo kwa msajili?
 
Kumbukeni KATIBA ya Tanganyika ni ya chama kimoja kwa hiyo patakuwa na mgombea mmoja wa TANU upande mmoja na kivuli upande wa pili.

Tukimpata rais wa Tanganyika atasimamia mabadiliko ya Katiba TANGANYIKA KWANZA, MUUNGANO BAADAE.
Kiasi watoto wa feli kama head techer ndio anamawazo haya, kwa hivyo TANU itoe wagombea wawili hao wagombea watatumia sera gani za ushawishi maana chama si kina itikadi moja jamani ama kuna kitu sie wengine atuelewi.

Halafu raisi hatasimamia vipi mambo ya tanganyika na muungano baadae, wakati hamna tanganyika kwa sasa au we mwenzetu uoni wenzako wanavyotaka katiba mpya iitambue tanganyika na irudishwe na huo muungano ufe kama vipi. Au labda mimi ndio sikuelewi head teacher maana naona kama vile hupo nyuma like 50 yrs kimawazo.
 
Kiasi watoto wa feli kama head techer ndio anamawazo haya, kwa hivyo TANU itoe wagombea wawili hao wagombea watatumia sera gani za ushawaishi maana chama si kina itikadi moja jamani ama kuna kitu sie wengine atuelewi.

Sasa halafu raisi hatasimamia vipi mambo ya tanganyika na muungano baadae, wakati hamna tanganyika kwa sasa au we mwenzetu uoni wenzako wanavyotaka katiba mpya iitambue tanganyika na irud na huo muungano ufe kama. Au labda mimi ndio sikuelewi head teacher.
Soma vizuri great thinker
 
Wakuu nina wazo la kuanzisha chama cha TANU ambacho kinatambulika katika katiba ya Tanganyika. Tunahitaji wanachama kila mkoa ili chama chetu kisajiliwe na Tendwa. TANU kitatumika sambamba na katiba ya Tanganyika katika kupata rais wa Tanganyika. Kumbukeni KATIBA ya Tanganyika ni ya chama kimoja kwa hiyo patakuwa na mgombea mmoja wa TANU upande mmoja na kivuli upande wa pili. Tukimpata rais wa Tanganyika atasimamia mabadiliko ya Katiba ya Tanganyika yaendane na katiba ya Tanzania. Bahati mbaya sina katiba ya Tanganyika wala Katiba ya TANU. Mwenye nazo ninaomba atuwekee hapa JF tuzipitie tuone kuna technicalities gani tuzishughuhurikie mapema. TANGANYIKA KWANZA, MUUNGANO BAADAE.
fikra za kinyume nyume hizi!!
 
Soma vizuri great thinker
najaribu sana kutaka kukuelewa mwalimu, hila naona kama vile hili bandiko linge make sense sana kama ningekuwa nalisoma sometime 1963. Lakini kwa sasa inaniwia tabu kukupata, especially kwenye upinzani wa kutoka within chamani, tofauti ya hawa candidates sijui itakuwa nini. Au labda mwalimu mkuu ulikuwa unafikiria in terms of Lowassa and Sitta (unafiki unafiki tu).
 
Sheria ya vyama vya siasa hairuhusu jina la chama kilichowahi kuanzishwa,alama,au rangi yoyote kutumiwa na chama chochote.
 
Back
Top Bottom