Singida wapata wilaya mpya

Singida wapata wilaya mpya

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
458
Reaction score
193
mkuu wa mkoa wa singida Dr kone amezindua wilaya mpya " IKUNGI" ambayo itakua na majimbo mawili singida mashariki na singida magharibi.dr kone amawsema wamelazimika kufanya hivyo ili kurahisisha huduma za maendeleo kwa wananchi
 
Baadhi yao sasa hivi wanawaza kwenda kuwania Ubunge utaanza kuona misaada.mara mashindano ya mbuzi kwa vijana n.k
 
Mnazidi kuongeza gharama lakini mkiambiwa serikali tatu mnajaa mapovu, hizi za wilaya mpya siyo kuongeza gharama??? Go on warioba na serikali tatu.tunasumbuliwa na mburula
 
Back
Top Bottom