calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 275
swali la kizushi.....
Aliwahi kuwa PS pale Afya akaharibu wakampa U RAS kule KILIMANJARO....Hilda Hausi Gondwe ni Mmalawi
Aliwahi kuwa PS pale Afya akaharibu wakampa U RAS kule KILIMANJARO....Hilda Hausi Gondwe ni Mmalawi
Wakuu ni "Hilda Gondwe" au ni "Hilda Ngoye?"
Wakuu ni "Hilda Gondwe" au ni "Hilda Ngoye?"
Mkuu una data!Ni watu wawili tafauti kabisa CYNTHIA HILDA NGOYE siye HILDA HAUSI GONDWE
Mkuu una data!
Aliwahi kuwa PS pale Afya akaharibu wakampa U RAS kule KILIMANJARO....Hilda Hausi Gondwe ni Mmalawi
Kwani huyu mama wa watu amefanyaje hadi tunatafuta kumjua leo? Si alishastaafu kazi kwa mujibu wa sheria?
Siku hizi watu wakisataafu wanakula kiapo tena?
![]()
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Ilikuwa kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, mwezi huu mtukufu chukua jiji basi, Medina!At last unakubali......ila si dati kama wewe...:wave::wave::wave::wave:
Hilda Gondwe mkuu..... Akawa na kashfa ya kutumia mafuta ya hospitali ya mkoa kwa ziara zisizo na kichwa wala miguu.....