nimeamin,Nyerere angekuwa hai angekuwa upinzani tena chadema,leo nikiwa safari arusha kwenda musoma kupitia butiama,nimeshuhudia ofisi ya chadema bendera ikipepea,baada ya kuuliza nikaambiwa cdm ina tawi apo butiama tena linanguvu sana,na vijana wengi wa apo butiama ni wanachama wa cdm.
OMBI;M4C twende butiama tukawaongezee nguvu makamanda wetu uko butiama.
OMBI;M4C twende butiama tukawaongezee nguvu makamanda wetu uko butiama.