Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
 
Hivi adui wa CCM ni CHADEMA? hamy D

Kwenye siasa hakuna adui na wala CCM haina maadui, hayo niliyoweka hapa ni marekebisho tu kwa mwenyekiti wa CDM kwamba ameenda chaka.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio mbumbumbu kabisa........hujaelewa effects za kurudia chaguzi zote hizo?

Kwahiyo kwa kuwa kuna effect ya kurudia hizo chaguzi ndio maana chadema mnaamua kuvunja sheria makusudi kisa tu mnadhani kuna gharama katika chaguzi hivyo serikali haitachukua hatua?

Usijidanganye mkuu.
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.
too low ...kajipange upya na habari zako za kuokoteza.
 
Eti wewe ndio yule anayeendesha kipindi cha nanenane spesho?
 
Kwahiyo kwa kuwa kuna effect ya kurudia hizo chaguzi ndio maana chadema mnaamua kuvunja sheria makusudi kisa tu mnadhani kuna gharama katika chaguzi hivyo serikali haitachukua hatua?

Usijidanganye mkuu.

Unaweza kututhibitishia hili? Honestly that is
 
Kwenye siasa hakuna adui na wala CCM haina maadui, hayo niliyoweka hapa ni marekebisho tu kwa mwenyekiti wa CDM kwamba ameenda chaka.

umeshndwa kujielewa wewe mwenyewe so sidhani kama waweza kunielewa. So sorry
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

Muda ni Pesa, tumia muda wako vizuri.
 
Mh Jk alisema " nawapa miezi mitatu wale wote waliochukua pesa za EPA kuzirudisha, baada ya hapo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa watakaoshindwa kurudisha" Mh Pinda alisema "wale wote wanaoua watu wenye ulemavu wa ngozi nao wauwawe" HAMY-D wewe umesoma sheria, naomba utuambie hizi hukumu zilizotolewa na hawa Viongozi wa CCM zipo katika kitabu gani cha sheria? Je hawa mabwana wanajua walifanyalo? Je chini ya hawa mabwana, lini tutasonga mbele kimaendeleo
 
Mnajitahidi sana lakini kumbukeni watu wanaosoma humu JF wana akili zao.

HAMY-D kachukue 7000 yako, ushaingiza siku.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo kwa kuwa kuna effect ya kurudia hizo chaguzi ndio maana chadema mnaamua kuvunja sheria makusudi kisa tu mnadhani kuna gharama katika chaguzi hivyo serikali haitachukua hatua?

Usijidanganye mkuu.

Wewe ndugu mbona unapenda sana kuleta vihabari vya kijingajinga humu ni wapi ambapo CHADEMA wamevunja sheria? Hapo ulipo huwezi kujiringanisha na Mbowe kwa lolote lile.
 
ili ni tatizo la ushabiki wa kuganga njaa lumumba, yaani ccm isijidanganye kumtumia msajili wa siasa kukifuta cdm alafu kwa akili za kilodilofa kidhani kitakua salama, jipangeni kwa sera sio kwa kumtumia msajili wa vyama,
 
Wewe ndugu mbona unapenda sana kuleta vihabari vya kijingajinga humu ni wapi ambapo CHADEMA wamevunja sheria? Hapo ulipo huwezi kujiringanisha na Mbowe kwa lolote lile.

ndugu hujui hamy-d ni maprosoo,
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

Hakuna cha upeo mdogo wala nn? Nyio ndiyo wenye upeo mdogo, na kama mna upeo mkubwa msitishie, ifuten Chadema muone. CHADEMA ndo life style ya Watanzania hakifutiki hata kwa correction fluid, na nyie mnajua hilo na ndo maana kila siku mnaishia kutishia tuu, badala ya kukfuta. Na mie nnasema kifuten tu, tumechoka sasa.
 
WanaJF!

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.

Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya kueleza kuwa CHADEMA kufutwa haiwezekani kabisa na hiyo sababu aliyoitumia ndio kichekesho na imemdhalilisha kweli.

Sababu aliyoitoa bwana Mbowe ya kukingia chama chake kifua kuwa hakitaweza kufutwa na msajili si nyingine bali ni idadi ya wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji.

Bwana Mbowe alieleza kuwa, "kufuta CHADEMA ni sawa na kufuta wabunge 49, madiwani zaidi ya 600 na wenyeviti wa vijiji zaidi ya 1000".

Kama bwana Mbowe angekuwa na maarifa kidogo sana ya sheria (kwa kupitia tu ile sheria ya vyama vya siasa) asinge weza kuongea hayo maneno ya ovyo kabisa kuhusu kufutwa kwa CHADEMA.

Ieleweke kuwa, chama cha siasa hakifutwi kwa kuangalia idadi ya wabunge, madiwani na hata wenyeviti wa vijiji waliotokana na chama hicho, bali kinacho angaliwa ni kama vigezo ama masharti yaliyo kwenye sheria yamevunjwa.

Umegonga viroba vingapi?
 
Back
Top Bottom