Mkurugenzi wilaya ya Chamwino

Mkurugenzi wilaya ya Chamwino

Nyanje

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,863
Reaction score
2,394
Tafadhari jaribu kuipitia Idara ya Maji ya wilaya yako kwani ni kero hata kuizungumzia kwani ni wazi hata uendeshwaji wake ni wakihuni tu mfano system za mabomba maeneo ya Buigiri kuanzia njiapanda ya Chamwino, Ikulu mpaka Buigiri madukani ni hovyo mno utakuta nyumba zimeongozana lakini moja inatoka maji mara sita kwa mwezi nyingine mala moja, nyumba nyingine hazitoki maji kabisa.

Mfano opposite na Buigiri shule ya wasioona mtaa huu maji utoka siku nne kabla ya mwisho wa mwezi pindi wanapojiandaa kuja kuchukua bili za maji na wanataka pesa ya mwezi mzima usipowapa wanakufungia bomba lako lisitoe maji na ni wapenda rushwa mno nyumba nyingi mita zimekufa sasa hili ni tatizo na ni namna ya kuendesha idara kihuni tafadhari fanya ima utembelee maeneo husika ujionee hali halisi.
 
Naona ofisi za serikali zinahamia JF.

Asenti!
 
kp25072013.jpg
 
Back
Top Bottom